njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nilikuwa jana na jamaa mmoja ambaye ni mtangazaji wa kituo kikubwa cha TV bongo ananimbia hali ya kifedha ya media nyingi haswa Tv ni tete,hapo sisemei magazeti ukiondoa yale ya michezo maana yana afadhali.
Anasema afadhali radio bado sponsors wako wengi haswa vipindi vya michezo na vile vyenye contents za uswahilini kama uhondo au leo tena.
Sababu kubwa ni mvuto wa tv kupungua kutokana na social media na kubanwa vitu vya kuandika na kusema haswa vya kisiasa,pia michezo haswa mpira wa miguu imekuwa na nguvu sana kwa hiyo vipindi vya michezo bado havikosi sponsors haswa vya redio maana gharama za kutangaza ni ndogo kuliko tv na wengi wanasikiliza.
Ni kweli kabisa, hii inaanzia kwangu mimi mwenyewe.KATIKA INDUSTRY HASA YA BURUDANI KAMA UNA BIFU NA WCB LAZIMA UISOME NAMBA.HUU NI UKWELI MCHUNGU MNO
Habari za siasa ndio maisha!!ndio maana kipindi ya jk, vyombo vya habari vilikuwa huru sana, mfano kipindi cha kipima joto/malumbano ya hoja kwenye kituo cha ITV, ukienda chaneli ten, unakutana na generali on monday wadhamini lazima tu wajitokeze kwani ni watazamaji wengi wanatazama!!na hats taarifa za habari zilikuwa zinaonyesha maonevu ya serikali dhiti ya wananchi, lakini sasa utaona malalamiko ya wananchi dhiti ya mwekezaji na sio serikali!!yaani kwa sasa huwezi tofautisha taarifa ya habari ya ITV, na ile ya TBC!!!Hapo utegemee nini?na vitafungwa kabisaKwani siasa ndio habari pekee?
Wasivunge tu U tube kawameza habari kwisha.
Wakiwafurahisha watazamaji wataikosea serikali,serikali inataka tu kusifiwa,wananchi wanataka kero zao zisemwe kwa uwazi,kwa hiyo hapo ku a upanga ukatao kuwili,amua kuwa upande wa wateja au upande wa serikali,ila kote kote ni hatari kwako mwekezaji,mi bado naangalia ITV!! Japo kwa shingo upandeMaendeleo ya Teknolojia hayazuiliki
Tanzania tunapitia kwenye haya mabadiliko ya Teknolojia plus mabadiliko ya uchumi na siasa. Na kwa maana hiyo jamii inahitaji zaidi vitu vitakavyoweza kuwasaidia. Mimi binafsi nyumbani kwangu sijui hata Tv inavyowashwa, Mimi sio mteja wa program ZA t.v. sababu hakuna ninachopata humo zaidi ya taarifa ya habari
Sasa ndio muda muafaka kwa wenye t.v., radio na magazeti kukaa chini na kufanya tathmini yatakayoweza kupelekea mageuzi ya programs zao yaendane na uhitaji wa sisi walaji
Kwenye haya mabadiliko wenye medias washirikiane na wadau wengine wenye mawazo chanya wanapata mengi
Wananchi zaidi ya 84% wanaipenda na kuielewa serikali yao, na wanatamani kupata vitu vinavyowajenga kama mipango ya serikali inavyoelekezaWakiwafurahisha watazamaji wataikosea serikali,serikali inataka tu kusifiwa,wananchi wanataka kero zao zisemwe kwa uwazi,kwa hiyo hapo ku a upanga ukatao kuwili,amua kuwa upande wa wateja au upande wa serikali,ila kote kote ni hatari kwako mwekezaji,mi bado naangalia ITV!! Japo kwa shingo upande
Okay..kwahiyo media zinazocheza WCB contents ndo zinazoongoza kwa revenues?KATIKA INDUSTRY HASA YA BURUDANI KAMA UNA BIFU NA WCB LAZIMA UISOME NAMBA.HUU NI UKWELI MCHUNGU MNO