MLETA MADA TULIA UTUELEZE VIZURI. UKIMWI ULIWAHI KUMUUA NANI? UKINIJIBU NITJUA HUJATUMWA NA WAZUNGU. Ukimwi sio ugonjwa wala Ukimwi hauambukizwihali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.
wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.
wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.
Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.
Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.
Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
Bado unaogopa haka kaugonjwa ?hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G.
wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe.
wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers.
Tamaa ya utelezi na msererereko vinatupeleka kaburini tukiwa na kilo2 ,hadi kaburini chap kwa haraka.
Jihadhari, kuwa muaminifu, tumia condom.
Ukimwi upo Unaua mbaya sana.
😭 inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?Bado unaogopa haka kaugonjwa ?
Duh kweli unaishi zama zipi bwana wewe ?
Dingi UKIMWI umeua watu zamani leo wana ugua, ikitokea dawa za kufubaza zikapotea miezi sita tutaokotana barabarani wagongwa ni wengi wanakufa sasa wachachesidanganyiki dingii. Ukimwi unakupotezea direction
Aaaaah ko saaa hv ni swadaktaa [emoji1787]UKIMWI ulikuwa zamani nyie kabla ya ARV. Sasa hivi hautishi tunaishi nao
Tofautisha VIRUSI NA UKIMWI ndg. Hapo hakuna ugonjwa kati ya hivyo viwili. Kuna magonjwa yanayoua mkama TB, KANSA, MALARIA nk. Usiogope ngono kwasababu ya Ukimwi bali jiheshimu na kumweshimu Mungu maana UKIMWI ni miradi ya watu wala sio ugonjwa. Kama sio Trump na Magufuli leo madakitari wa kizungu wangeshatumaliza na machanjo ya CORONA Ili nchi zao zijipatie fedha nyingi bila huruma.sidanganyiki dingii. Ukimwi unakupotezea direction
mie nimezungumzia ukimwi leo.Tofautisha VIRUSI NA UKIMWI ndg. Hapo hakuna ugonjwa kati ya hivyo viwili. Kuna magonjwa yanayoua mkama TB, KANSA, MALARIA nk. Usiogope ngono kwasababu ya Ukimwi bali jiheshimu na kumweshimu Mungu maana UKIMWI ni miradi ya watu wala sio ugonjwa. Kama sio Trump na Magufuli leo madakitari wa kizungu wangeshatumaliza na machanjo ya CORONA Ili nchi zao zijipatie fedha nyingi bila huruma.