Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

MLETA MADA TULIA UTUELEZE VIZURI. UKIMWI ULIWAHI KUMUUA NANI? UKINIJIBU NITJUA HUJATUMWA NA WAZUNGU. Ukimwi sio ugonjwa wala Ukimwi hauambukizwi
Unaelewa unacho kinena kweli? Hebu fafanua. Usituletee hekaya za Tabo Mbeki hapa.
 
Unaelewa unacho kinena kweli? Hebu fafanua. Usituletee hekaya za Tabo Mbeki hapa.
Hao wanapotosha watu sana ukimwi unaua wengi sana huko mtaani sema tu inakuwa siri unaweza kusikia alikufa kwa malaria kumbe kiuhalisia alikufa kwa ukimwi watu wanaficha
 
[emoji24] inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
[emoji24]Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza? [emoji24][emoji24]

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu [emoji24]
Apumzike panapostahili .

Je unajua ni kipi kinanipa ujasiri ? Ujinga wake umemtanguliza kwa kagonjwa kauongo hako kwanini nasema hivi ?

Rafiki siku hizi kuupata utake wewe tu .

Usiogope shiriki ngono zembe niko hapa kukuambia ufanyeje ukilala na mwenye huo ugonjwa wa mchongo
 
😭 inauma sana na inatafakarisha sana, natoka mazikoni muda huu, jirani yangu alikua bonge kweli kweli tumempumzisha na kilo2! kweli?
😭Hili Jambo ni la kufumbia macho kweli au kunyamaza? 😭😭

Na jamaa alikua jasiri kama wewe alikua anasema kwamba hii kitu si ya kuogopa tuishi nayo kama ndugu 😭
Marehemu alikuwa mzembe,hakuzingatia dawa
 
Unaelewa unacho kinena kweli? Hebu fafanua. Usituletee hekaya za Tabo Mbeki hapa.
Ww ndio huelewi unachonena maana hata huo UKIMWI hujui ni kitu gani. Hadi Sasa unajua UKIMWI ni ugonjwa sasa huoni ww bado una akili mgando? Funguka ubongo wako utaelewa kinachua watu acha kusingizia UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.
 
Ukimwi ungekuwa serious kwa jinsi Lifestyle ya watu nayoiona huko mtaani hii nchi tungebaki watu wawili tu.

Nothing serious.

Hayo MAGONO na ndugu zake wakina KASWENDE ndio balaa.. wengine wanasingizia UTI.
Mi huwa nina desturi ya kuwapima ninaoshiriki nao aloo juzi nimekutana na mwenye zaga zake alafu nusu niteleze
Mpaka .. anapima alikuwa hajui au ...
 
Back
Top Bottom