Uchaguzi 2020 Hali ya maisha mtaani ni ngumu mno

Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter

Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wa mitandao wanaishi mars au wapi?
Nakumbusha tu, Being A MATAGA IS NOT A JUSTIFICATION OF BECOMING AN IDIOT

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Lini hali ya maisha iliwahi kuwa RAHISI ? Kwa mifumo na utamaduni wa waafrika kuuondoa umasikini kwa watu wengi itachukua muda sana.Iwezo wetu wa kufikiri unatia shaka.
 
Watu wa mitandao wanaishi mars au wapi?
Nakumbusha tu, Being A MATAGA IS NOT A JUSTIFICATION OF BECOMING AN IDIOT

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?

Wanaishi Duniani
Nikufafanulie nilichotaka ufahamu Mimi binafsi nikiingia Mitandaoni (JF na Twitter) Asilimia Kubwa ndipo napokutana na watu wanao mkashifu MAGUFULI Ni mara chache Sanaaa Huku mtaani kuona mtu/watu wamekaa wana mkashifu Magufuli Sio kwnye Daladala, Sokoni,Madukani nk
Zaidi Utaskia tuu Magufuri jembe, Mzee hataki mchez Safi Sana, Jamaa kanyoosha nchi na mengineyo

Huo Ni mtazamo wang Mimi Kama unao wako wa tofaut I won't mess with it [emoji276][emoji276]
 
Ili yawe rahisi spana itumike ipasavyo hiyo oktoba.
To be honesty ili kukomesha kiburi na jeuri ya wanasiasa na watu wengine wenye tuvyeo Kati inatakiwa itupe nguvu zaidi wananchi bila kusubili miaka 5
 
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Na sisi tuna jambo letu. Yaani aitukane nchi ughaibuni na kufanya kila linalowezekana ili isipewe mikopo, halafu eti leo anakuja kutuomba kura, wenye kujitambua tunasema HAPANA. Tarehe 28/10/2020 tuna jambo letu.
 
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Ddsdssee
EjFv_zlX0AIYopC.jpg
 
Nimeota ujue hata mkipiga kura ,wasimamizi wa uchaguzi hawatatangaza mpinzani kama ilivyokuwa serikali za mitaa na chaguzi zilizorudiwa.

Ndoto yangu niya ukweli kwa hiyo tujiandae kisaikologia miaka mingine 5 kuwa na huyu jamaa unless Mungu aingilie kati tu .

Na safari hii atafanya anachotaka ,hata viboko mtapigwa heeeee
Sio Mungu aingilie kati, itabidi raia tusimame na haki zetu
 
In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
 
Vyuma vilivyobana ndivyo vinampigia kampeni ya kisirisiri Tundu lissu maana watanzania wote tumeathirika na vyuma vilivyobana na watanzania tukilalamika hali ni ngumu tunaitwa wavivu na wapiga dili. Sasa sisi watanzania kwa umoja wetu tuungane kwa pamoja kumpa kura za kishindo Lissu ili atuokoe na hali ngumu.

Oktoba 28 tuna jambo letu, kura zote kwa lissu.
Kwa hizi njaa unadhani hao wasimamizi vituoni hali itakua shwari? Kama hao wabunge wanaopokea mamilioni wananunulika huko vituoni itakuaje
 
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Si mliambiwa mtalima kwa meno? Ngoja tuonje joto zaidi tupate akili timamu!
 
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.

Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.

Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.

Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!

Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
We can't breathe
 
Back
Top Bottom