Watu wa mitandao wanaishi mars au wapi?Hahahahh
Niwaambie MAGUFULI Anachukiwa Mitandao Tuu tena Sana Sana Jamii forum Na Twitter
Kwa Ground Mambo Ni tofauti endeleeni kujipa Mioyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakuuliza tuu Nani MATAGA !?Watu wa mitandao wanaishi mars au wapi?
Nakumbusha tu, Being A MATAGA IS NOT A JUSTIFICATION OF BECOMING AN IDIOT
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Tatizo kubwa ni kuwa bwana yule na chama chake ni wezi wabobevu wa kura.Watanzania acha tule msoto kwasababu sisi ni hamnazo,maana tuna macho lkn hatuoni,tuna masikio lkn hatusikii.Hakuna wa kutuhurumia,wacha tuipate fresh kulipia ujinga wetu.
Na sisi tuna jambo letu. Yaani aitukane nchi ughaibuni na kufanya kila linalowezekana ili isipewe mikopo, halafu eti leo anakuja kutuomba kura, wenye kujitambua tunasema HAPANA. Tarehe 28/10/2020 tuna jambo letu.Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
DdsdsseeSasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Sio Mungu aingilie kati, itabidi raia tusimame na haki zetuNimeota ujue hata mkipiga kura ,wasimamizi wa uchaguzi hawatatangaza mpinzani kama ilivyokuwa serikali za mitaa na chaguzi zilizorudiwa.
Ndoto yangu niya ukweli kwa hiyo tujiandae kisaikologia miaka mingine 5 kuwa na huyu jamaa unless Mungu aingilie kati tu .
Na safari hii atafanya anachotaka ,hata viboko mtapigwa heeeee
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Hahah maisha ya uchumi wa kati yanatuchanganya sana mkuu.Una jua wewe una matatizo sana πππππ
we unafikiri maisha yanajiendesha tu?In shot maisha ni magumu duniani kote kikubwa we pambana usikae kulaumu huku umekaa mtamsingizia magufuli bure wakati hata kipindi cha kikwete mlikua hamna kitu
Kwa hizi njaa unadhani hao wasimamizi vituoni hali itakua shwari? Kama hao wabunge wanaopokea mamilioni wananunulika huko vituoni itakuajeVyuma vilivyobana ndivyo vinampigia kampeni ya kisirisiri Tundu lissu maana watanzania wote tumeathirika na vyuma vilivyobana na watanzania tukilalamika hali ni ngumu tunaitwa wavivu na wapiga dili. Sasa sisi watanzania kwa umoja wetu tuungane kwa pamoja kumpa kura za kishindo Lissu ili atuokoe na hali ngumu.
Oktoba 28 tuna jambo letu, kura zote kwa lissu.
Si mliambiwa mtalima kwa meno? Ngoja tuonje joto zaidi tupate akili timamu!Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa amefuatwa na watu wasiopungua 5 waliomfuata wakiomba mkopo huku yeye mwenyewe pia akiwa katika msako wa mkopo.
Yaani kila mmoja anamfikiria mwenzake labda ana unafuu fulani, kumbe siyo.
Wote tupo kwenye msoto mkali. Miaka 5 ya utawala huu imetufikisha hapa! Sasa wanakuja tena kuomba kura eti wamenunua ndege!
Tuna JAMBO LETU 28/10/2020.
Hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa kwa jambo lolote!Nimekata tamaa kupiga kura kutokana na mwonekano wa NEC. Inaonekana hata mgombea nimtakaye akishinda hatatangazwa
Mikopo kutoka kwa Mabeberu? mbona sera yetu haitaki ubeberu?Na sisi tuna jambo letu. Yaani aitukane nchi ughaibuni na kufanya kila linalowezekana ili isipewe mikopo, halafu eti leo anakuja kutuomba kura, wenye kujitambua tunasema HAPANA. Tarehe 28/10/2020 tuna jambo letu.
We can't breatheSasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.