Hakika utajisikia vibaya na utakuwa na mawazo mengi,utajiuliza maswali mengi bila majibu hadi utatamani kulipiza kisasi.Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.
Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.
NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?
Wakishuka hapa, kazi yetu itakuwa ni moja tuu-Kuwatwanga dislikes za kufa mtu.Kuna wazenge watakuja kukuambia si ungeenda private kama hela ipo ? Tutafute hela
Hadi watoe mlio wa NokiaAcha tuwakamue kudadeki. Uku kwetu huduma ya afya ni Bure.
Hahahaa. Kama yule daktari?Kipimo Cha mkojo wakasemaje ss? Ilitakiwe uwashe moto unyonge unatu cost
Huku kwetu huduma ya afya ni Self service (Bure) hapo porini. Unachimba mizizi au unakwanyua majani unaenda kuchemsha unakunywa kikombe - Game over.Hadi watoe mlio wa Nokia
Kweli.Dah mi nisiwe mnafiki ishu sio pesa haiendani na service ila HELA NGUMU😈😈
Kabisa nalipia 16k unanipa huduma ya ya 6k? Ntakubagonza tuheshimiane.Hahahaa. Kama yule daktari?
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini walichopima ni malaria pekee.
Ningeenda hospitali binafsi, vipimo hivyo ningetumia hata Sh6,000 tu. Guys, huku ground hali sio nzuri, ngo'ombe tunakamuliwa haswa.
NB: Kuna wale walala hoi mnapenda kusema Sh16,000 nayo ni hela ya kulalamikia. Issue sio kiasi cha pesa, issue ni utajisikiaje ukipanda daladala kutoka Nyegezi hadi NATA, ukaambiwa nauli ni Sh50,000? Utalipa kwa moyo mkunjufu?
1. Wahudumu walitakiwa walau wamweleze/wamjulishe/wamweleweshe. Hiyo pengine ingelimfanya ajisikie vizuri kwani atajua -pamoja na vipmo vingi alivyopimwa, ni malaria tu ndo imeonekana.Mkuu damu ivyo ndo vipimo uliambiwa umepimwa una uhakika?
Ni kweli Private siku zote ni gharama kubwa-ukizingatia Huduma Private imekaa kibiashara zaidi; na biashara lengo mahsusi huwa ni kupata Faida.Hapa naona kuna mambo matatu.
Moja umelalamika Bei.
Pili kwanini wakupime Malaria pekee wakati wamechukua na mkojo.
Na tatu umehoji hali ni ngumu na serikali inaamkandamiza wananchi wake isivyo haki na hali ni ngumu mtaani.
Turudi kwenye hoja ya kwanza na ya pili.
Una uhakika kwenye Cheti chako hakuna majibu ya urinalysis?.
hiyo damu wamechukulia mshipa mkubwa wa mkonon au kidoleni?.
Usikute wamekupima FBP ambayo ni 5k kwa zahanati nyingi.
Wakapima malaria 3k.
Wakapima VDRL ambayo huwa 5k na UTI na Gono kwa mkojo ambayo ni 3k.
ila majibu yakaja kuwa ni Malaria.
Angalia kwa makini Cheti chako.
Private ni gharama zaid. damu na mkojo haiwezi kuwa 6k.