Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

Nakumbuka nina miaka 5 kitanda changu cha kamb kilikuwa kikubwa kimetoboka chini ukilala mgongo unauma sana.
Kuna wakati kunguni walikuwa wengi kiasi nakosa usingizi wakati wa kulala.
Lakini sasa hali ni tofauti kabisa.😆🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…