Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.

Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo.

Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni biashara unayopat faida sh 500, basi utalazimika kutoa elfu 8 Tu na utakula hasara ya elfu moja.

Huo ni mfano Tu lakini kwa tunaona bidhaa kutuma na kutoa kwa watu mbali mbali .
Tunaomba serikali tukufu chini ya Uongozi Makini wa Dr Samia Suluhu Hassan na Mawaziri wake walifanyie kazi hili.

Angalau makato yawe kwa asilimia chini ya 2%
Mbona biashara zingine faida zimekuwa limited chini ya 5% huku kwenye Miamala ya watu maskini mnatafuta nini?

Jumapili njema
 
Naona nina wenge kichwani.Hebu, tafadhali,rudia kwa kutoa mfano mwingine.
 
Tumia selcom - simple
 
Attachments

  • IMG-20260919-WA0030.jpg
    IMG-20260919-WA0030.jpg
    106.6 KB · Views: 11
Sisi wakawaida kila kijiji seldom ipo? Unajingalia wewe Tu na mazingira yako tu
Ndio shida ya watanzania tunapenda kulaumu na kushambuli. Kama hujui ungeuuliza. Juzi nilikuwa nyumbani kwetu na nilikuwa natumia selcom bila shida. Nalipa 10,500 nafanya mimala 150 kwa mwezi bila makato ya ziada. Iwe kutuma, kulipia huduma kupitia lipa namba, kutoa pesa na kutoa unatoa tu kwa lipa namba ya mtandao wowote na siku hizi hadi vibanda vya pesa vya vijijini vina huduma za lipa namba.. acha ujuaji mkuu, tafuta maarifa
 
Yawezekana una maelekezo mazuri tatizo unatumia viboko na amri.
 
Kanibamiza sana huyu jamaa😂😂 ikaniritate kidogo.

Lakini mkuu hata mie nilikuwa sijui kuhusu selcom mtu mmoja akaniambia nijaribu.. ni rahisi unaingia unapakua app yao unaregister unanunua bando la mwezi then unaanza kutumia huduma zao. Imagine miamala 150 kwa cost ya 10,500 kwa mwezi? Na inawasave wanaofanya frequent transfers nk coz hiyo miamala kwa mwezi inaweza enda hadi 50 M.

Sasa ninasave hadi laki 4 kwenye makato. Mfano week hii inayoisha sijatumia cash kabisa, nalipa kwa selcom, natuma kwa selcom and no complains.

Issue tu ni kuwa watu wao wa masoko nadhani sio wazuri sana; wana huduma nzuri lakini bado si wengi wanaijua na sidhani kama ni wengi wanaitumia.
 
Sasa ninasave hadi laki 4 kwenye makato. Mfano week hii inayoisha sijatumia cash kabisa, nalipa kwa selcom, natuma kwa selcom and no complains.
Mkuu kwa kuwa Una ufahamu hili jambo, hebu tueleweshe vizuri, Hiyo selcom Una refill vipi balance yako ili iweze kutoa, kutuma na kupokea kutoka mitandao Mwingine?
 
Ni kweli makato ni makubwa mno, yaani kutoa pesa yako inakuwa anasa kabisa.

Binafsi natumia bank tu kwa sasa, nimekoma kuweka pesa kwenye line zangu maana kila unapotoa ni maumivu.
 
Maumivu makubwa sana
 
Hizi ndizo akili za Mwigulu na PhD yake ya uchumi. Kuwaumiza wananchi wa kawaida kwa makato na tozo kila sehemu, huku matajiri na mabwenyenye wakipewa upendeleo wa kila aina kwenye kodi na tozo hizo hizo!
 
Back
Top Bottom