Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Naona nina wenge kichwani.Hebu, tafadhali,rudia kwa kutoa mfano mwingine.M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.
Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo.
Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni biashara unayopat faida sh 500, basi utalazimika kutoa elfu 8 Tu na utakula hasara ya elfu moja.
Huo ni mfano Tu lakini kwa tunaona bidhaa kutuma na kutoa kwa watu mbali mbali .
Tunaomba serikali tukufu chini ya Uongozi Makini wa Dr Samia Suluhu Hassan na Mawaziri wake walifanyie kazi hili.
Angalau makato yawe kwa asilimia chini ya 2%
Mbona biashara zingine faida zimekuwa limited chini ya 5% huku kwenye Miamala ya watu maskini mnatafuta nini?
Jumapili njema
Tumia selcom - simpleM-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.
Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo.
Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni biashara unayopat faida sh 500, basi utalazimika kutoa elfu 8 Tu na utakula hasara ya elfu moja.
Huo ni mfano Tu lakini kwa tunaona bidhaa kutuma na kutoa kwa watu mbali mbali .
Tunaomba serikali tukufu chini ya Uongozi Makini wa Dr Samia Suluhu Hassan na Mawaziri wake walifanyie kazi hili.
Angalau makato yawe kwa asilimia chini ya 2%
Mbona biashara zingine faida zimekuwa limited chini ya 5% huku kwenye Miamala ya watu maskini mnatafuta nini?
Jumapili njema
M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.

Tumia mtu sh 2000 kutoka mtandao mmoja kwenda Mwingine, utakatwa sh 340 Sawa na asilimia 17%.Naona nina wenge kichwani.Hebu, tafadhali,rudia kwa kutoa mfano mwingine.
Sisi wakawaida kila kijiji seldom ipo? Unajingalia wewe Tu na mazingira yako tuTumia selcom - simple
Kwa hiyo itakuwa zaidi ya hapa? Sisi Wanyonge itakuwajeTunaingia cashless very soon , jiandae zaidi.
Nakuambia unaweza kwa mwezi kutukumia zaidi ya laki kama sehemu ya makato ya huduma unazolipia.Kwa hiyo itakuwa zaidi ya hapa? Sisi Wanyonge itakuwaje
Kabisa unaweza hata kuzidiNakuambia unaweza kwa mwezi kutukumia zaidi ya laki kama sehemu ya makato ya huduma unazolipia.
Ndio shida ya watanzania tunapenda kulaumu na kushambuli. Kama hujui ungeuuliza. Juzi nilikuwa nyumbani kwetu na nilikuwa natumia selcom bila shida. Nalipa 10,500 nafanya mimala 150 kwa mwezi bila makato ya ziada. Iwe kutuma, kulipia huduma kupitia lipa namba, kutoa pesa na kutoa unatoa tu kwa lipa namba ya mtandao wowote na siku hizi hadi vibanda vya pesa vya vijijini vina huduma za lipa namba.. acha ujuaji mkuu, tafuta maarifaSisi wakawaida kila kijiji seldom ipo? Unajingalia wewe Tu na mazingira yako tu
Yawezekana una maelekezo mazuri tatizo unatumia viboko na amri.Ndio shida ya watanzania tunapenda kulaumu na kushambuli. Kama hujui ungeuuliza. Juzi nilikuwa nyumbani kwetu na nilikuwa natumia selcom bila shida. Nalipa 10,500 nafanya mimala 150 kwa mwezi bila makato ya ziada. Iwe kutuma, kulipia huduma kupitia lipa namba, kutoa pesa na kutoa unatoa tu kwa lipa namba ya mtandao wowote na siku hizi hadi vibanda vya pesa vya vijijini vina huduma za lipa namba.. acha ujuaji mkuu, tafuta maarifa
Kanibamiza sana huyu jamaa😂😂 ikaniritate kidogo.Yawezekana una maelekezo mazuri tatizo unatumia viboko na amri.
Hahaha Watz Bwana hajulikani anayejua jambo na asiyejua jambo, mtu badala atoe mwongozo kwa heshima yeye anakandia wale wasiojuaYawezekana una maelekezo mazuri tatizo unatumia viboko na amri.
Mara ya pili katoa muongozo maridadi.Hahaha Watz Bwana hajulikani anayejua jambo na asiyejua jambo, mtu badala atoe mwongozo kwa heshima yeye anakandia wale wasiojua
Mkuu kwa kuwa Una ufahamu hili jambo, hebu tueleweshe vizuri, Hiyo selcom Una refill vipi balance yako ili iweze kutoa, kutuma na kupokea kutoka mitandao Mwingine?Sasa ninasave hadi laki 4 kwenye makato. Mfano week hii inayoisha sijatumia cash kabisa, nalipa kwa selcom, natuma kwa selcom and no complains.
Maumivu makubwa sanaNi kweli makato ni makubwa mno, yaani kutoa pesa yako inakuwa anasa kabisa.
Binafsi natumia bank tu kwa sasa, nimekoma kuweka pesa kwenye line zangu maana kila unapotoa ni maumivu.