Hali ya Mapenzi imeimarika mtaani baada ya Covid-19

🤣🤣🤣🤣🤣 asante sana mkuu, tuombeane uzima tu maana nimekuwa muhanga katika sekta niliopo. Si ofisini wala biasharani!
Daah! Pole yataisha tu mkuu. Kikubwa uzima.
 
Kama hawana dalili basi hawawezi kuambukiza....according to medical health specialists
Sio kweli. Madaktari wengi wameambukizwa corona kwa kutibu watu ambao wameletwa hospitali kwa magonjwa mengine au hara waliopata ajali. Unaweza kuwa umebeba virusi vya corona na huna dalili kwa sababu virusi vinachukua hadi siku 14 ili mtu apate dalili za ugonjwa. Tuwe makini corona ni hatari sana!!
 
Hizi akili za wengine! Tunayo kazi!
 
COVID 19 ni ya kishwaini mno japo kuna koloni langu limeanza kuntafuta kwa fujo toka juzi...ila kwa sasa hali ya mifuko yangu ina matundu makubwa zaidi ya virusi vya Corona
ha ha ha inabidi ukope huduma kwa hilo koloni mkuu
 
Hizi akili za wengine! Tunayo kazi!
Nilifikiri unaongelea mapenzi ndani ya familia kumbe 'umalaya'! Ufuska, ngono holela! Hiyo siyo faida ni janga ndani ya janga, maana baada ya corona kupita si tu utakuwa kwenye hatari ya kuambukizwa STI, bali kuvunjika kwa familia na mahusiano, na pia kuwindana kwa wivu wa mapenzi! Sasa kwenye uzi wako sioni kuimarika huko kupo kona gani! Maana hata huyo uliepitia huonyeshi kuweka kambi bali kumfuata mwingine kesho kama mbuzi vile!
 

Nitajie ugonjwa usiokuwa hatari


Sent using IPhone X
 
Kwahiyo unaona sifa kwa uzinifu, halafu baadaye unapeleka Corona nyumbani umamsingizia shetani mmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni nyingi zimefungwa hivyo vibarua hakuna, warembo wengi hawana pa kushika wanalandalanda mtaani tu.... isa blessings in disguise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…