Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Je wewe anakukubali?Sijawahi kumkubali huyu jamaa
Angekuwa anatembeza "DUDU LA YUYU" Tungesema ni KAZEZE ni KAZEZE ila anauza mitumba tu KARUME atakuwa ni BAUNSA huyo.Anaonekana amechoka muonekano wake hauridhishi nini kimempata huyu kijana mwenzetu?View attachment 1118513
warumi mbona siku hizi hakuna ubuyu bhn?Duh jaman huyu sio kala wereva
yeye mwenyewe hata kukufahamu hakufahamu huna madhara kwake Ur just a haterSijawahi kumkubali huyu jamaa
Mbona kapendeza sana
Rafiki i love you!
Nyimbo inaitwa DEAR GODNaukumbuka ule wimbo wake. Unaishia na vina vya nyengine