M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
We jamaa una roho mbaya sana
Sumjui wivu WA nini sasa, ningewaonea wivu kina diamond wanaofanya vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumjui wivu WA nini sasa, ningewaonea wivu kina diamond wanaofanya vizuri
Au nae nation grid km alivosema msemaji mmoja hapo juuJamaa anajielewa sana!
Kala popote ulipo heshima sana na unatoa elimu nzuri kwa jamii kupitia kazi zako!
Tuna Ndoto...!
Kwanza ndio wapiKala yuko vizuri bana juzi alhamisi kanikodi toka kwanza mpaka geita Kwa taksi nikapata mtonyo wa kutosha.
Akili za maskini ni kuombeana njaaAnaonekana amechoka muonekano wake hauridhishi nini kimempata huyu kijana mwenzetu?View attachment 1118513
Kilichonifanya nisipende nyimbo zake ilikuwa ni uimbaji wake ambao mashairi anayoimba hayendani na mdundo...Sijawahi kumkubali huyu jamaa
Kala ni commercial and inspirational Hip Hop singer The real one, nadhani bado hujui kitu kuhusu Hip Hop.Kala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
Nyimbo gani alioimba verses hazikuwa zikirandana na melody?Kilichonifanya nisipende nyimbo zake ilikuwa ni uimbaji wake ambao mashairi anayoimba hayendani na mdundo...
HATERS NEVER END.Sijawahi kumkubali huyu jamaa
Au Mafalisayo !!!Warumi siku hizi wamegeuka Wafiristi.!
HII NCHI INA WAONGEA PUMBA SANA HII !!!Kala is overrated
Napenda conssious hip hop kwa kiasi chake lakini mistari ya Kala ya kawaida sana anaimba vitu vinavyojulikana na kila mtu
A Normal One
Kama naongea pumba wewe ni nguruwe zile hizo pumbaHII NCHI INA WAONGEA PUMBA SANA HII !!!