Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Karibu sana mkuu,niko mitaa ya sanawari.Mkuu upo pongwe hapo kitambo sana nimetoka mitaa ya basi kuna ndugu zangu kule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuu,niko mitaa ya sanawari.Mkuu upo pongwe hapo kitambo sana nimetoka mitaa ya basi kuna ndugu zangu kule.
topeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nilikimbia huko nikauza kila kitu miaka kama 10 iliyopita kwa sababu ya tope. gari unaliacha Pembe... 😀 😀 😀Huku Kange Kasera inanyesha
Yanaangalia cnn, BBC halafu wanatuletea utabiriKumbe yale manyangau ya TMA hayali kodi zetu za bure sometime yanasema ukweli
Huku Kange Kasera inanyesha
Kijichi sehemu gani? Me nipo hapa karibu na Mara hospital 😂ni saa10:07 pande izi,
mvua imetamalaki mno ikiambatana sambamba kabisa na upepo mkali sana wa kisulisuli inazama mpaka ndani nyumba bila wasiwasi wowote. Aiseee acha kabisaa ni ukungu wa kutisha nje ...
nikiripoti kutoka kijichi dsm, mm ni Tlaatlaah wa JF family...
Mama mchungaji,Kijichi sehemu gani? Me nipo hapa karibu na Mara hospital 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maafa ya mvua yameletwa na jumba la mbowe [emoji34][emoji706][emoji706]
Kumbe inatesa hiviii🤣..wapi hapa?Tuko hivi 😂
Mtumishi Mama mchungaji hujanambiaKijichi sehemu gani? Me nipo hapa karibu na Mara hospital 😂
Ni kweli Machame boy!SI KWELI......napita tu hapa kwa shuguli maalum
Ndiyo maana philosophers walisema DO NOT SPECULATE UNTIL YOU SPECTATE. Sasa wewe umekariri machame bila ushahidiNi kweli Machame boy!
Wapi Dom??Hii Mvua siielewi.
Kuna muda kama inakuja vile alafu inakataa.