Hali ya mvua kwenu ikoje?

Huku Kange Kasera inanyesha
topeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, nilikimbia huko nikauza kila kitu miaka kama 10 iliyopita kwa sababu ya tope. gari unaliacha Pembe... 😀 😀 😀
 
TMA wamesema kwamba itanyesha kwa siku 4 kuanzia leo Tar 15 Nov mpaka 18 Nov 2023.
 
Kijichi sehemu gani? Me nipo hapa karibu na Mara hospital 😂
 
Kijichi sehemu gani? Me nipo hapa karibu na Mara hospital 😂
Mama mchungaji,
Naandika ujumbe huu muda nikijidaa kukamata kidala kutoka vikunai one time mpaka hapo kichemchemu kuna kadeal kidogo hapo,

utakua hapo kwa kipindi gani nije nikusabahi kiroho na kimwili kwa kibali cha Roho Mtakatifu?
 
Umaeanza kutoa location? Wewe utagegedwa leo leo na kesho uende kwenye uzi wa rikiboy uangalie simulizi yako ya gegedo la kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…