Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

Asante sana
 
[mention]Mshana Jr [/mention] mkuu ivi ni kwanini miili ya marehemu michwari hua mnaipasua kwenye tumbo maeneo ya chini ya kitovu? Nimeshuhudia ili zaidi ya miili 3 nikakosa wa kumuuliza.
Nimewahi kushuhudia pia, hasa kama mwili unasafirishwa. Na sio kupasua tumbo tu huwa wanaukata kata na utumbo pia na kunyunyiza dawa.
 
Haya hutokea sana kwa vifo visivyo vya kawaida


Sent using Jamii Forums mobile app


Naomba ufafanuzi

Mwaka 2011 akifariki Kijana mdogo mtoto wa uncle kwa ajari ya umeme.

Siku hiyo hiyo alipelekwa mochwari na mazishi yalifanyika baada ya siku 1 tangu Afariki.

Ila maiti yake ilikuwa inatokwa Sana jasho ambalo sio la kawaida je hii husababishwa na nini ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…