Hali ya Ngorongoro na wanahabari wanaoshinikiza Wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua

Kitenge mndengereko ,mndengereko na wanyama pori wapi na wapi ? yeye uwezo wake ni kuandika habari za ngoma za watu wa pwani za vigodoro , baikoko,kangamoko nk
Hao jamaa wanaishi kwa kuzungumza tu maisha halisi hawayafahamu.

Asijiingize kwenye mambo ambayo hayafahamu.

Kwenye maisha kuna princples mbili muhimu sana.

1. Salamu.

2. Kuuliza.

Kama hujui jambo uliza kwanza kuliko kujitia kiherehere.
 
Kama awali walikuwa eneo la Serengeti wakahamishwa na kusogezwa mbele na kuwa eneo la Ngorongoro kwa nini ishindikane kuhama kutoka Ngorongoro? Je, ikifanyika sensa ya kushtukiza (maana ikitolewa taarifa wanaweza kuondoka wengine kupisha sensa kisha warudi baadae) idadi ya watu waliokuwepo kipindi wanahamishwa miaka hiyo na leo ipo sawa? Hifadhi hiyo ni mali ya watanzania wote. Sasa hatuwezi kutulia tu tukiona hifadhi ipo hatarini.

Kwa kweli nilipata nafasi ya kuingia kutalii Ngorongoro, Serengeti, Manyara n.k; muingiliano wa watu, mifugo na wanyama pori ni mkubwa sn Ngorongoro. Mwisho itakuja kupoteza ule uasili wa wanyama pori.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Wabadilike. Utitiri wa mifugo hauwasaidii !
 
Wamasai wahamishwe runahitaji sana kulinda Biodiversity yetu

Ardhi ipo nyingi sana na watoto wa vizazi vijavyo nao waje wafaidi viumbe wa porini
 
Tatizo la Ngorongoro ni ongezeko la kasi la idadi ya watu kama yalivyo maeneo mengine mingi.
 
Wakati watu wanashinikiza wanangorongoro waondolewa nawakumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa, na serikali imekuwa ikiheshimu amri hiyo toka Sept 2018, tunataka Serikali isiyo heshimu utawala wa sheria? #Ngorongoro

View attachment 2109658View attachment 2109660View attachment 2109661View attachment 2109662

Eneo la Ngorongoro asili, lilikuwa sehemu ya Serengeti National Park wakati linaundwa na waingereza 1951. Maasai waliendelea kuishi eneo hifadhi mpya hadi 1959, wakati mgogoro na mamlaka za hifadhi kuhusu matumizi ya ardhi, waingereza wakawahamishia Ngorongoro Conservation Area.

59% ya ardhi ya wilaya Ngorongoro ipo Ngorongoro Conservation Area, ambayo ilirasimishwa 1959 kuhusika na masuala ya conservation za rasilimali za wanyama pori, kukuza utalii na maendeleo ya wakazi ndani ya hifadhi, Maasai ambayo ni jamii ya wafugaji wenye kuhama kutafuta malisho.

NCA ni eneo la 8,292 km2 ndani ya wilaya ya Ngorongoro, mkoa wa Arusha. Kuna vijiji 14 ndani ya Ngorongoro Conservation Area (NCA), kata 6 za Kakesio, Orbalbal, Endulen, Nainokanoka, Ngorongoro na Naiyobi na kata hizo zina wakazi zaidi ya 50,000 kwa sensa ya 2002.

Loliondo, ambayo pia imegawanyika katika kata na vijiji kadhaa, ni asili ya Maasai ambao kwa asili ni wafugaji na sasa kwa mahitaji ya binadamu wanalima mazao. Pia kuna jamii ya Batemi (Sonjo) na jamii nyingine ambazo pia zinaishi Loliondo, ni wakulima na pia wafugaji.

Mgawanyo huo unatengeneza vijiji vya Loliondo, Sakala, Ngwarrwa/Enguserosambu, Ololosokwan, Oloipir, Arash na Maloni. Tinaga, Mgongo, Kisangiro, Samunge, Yasimdito, Digodigo, Malambo, Piyaya, Pinyinui na Engaresero. Wakazi wengi ni wafugaji na wakulima.

Mgawanyo wa makaazi unatofautishwa na tofauti yao ubora wa rasilimali, nyanja za uzalishaji mali, historia na mila za wakaazi. Kuna upinzani wa asili wa kiuchumi kati ya jamii za Maasai na Batemi (Sonjo) na Loliondo.

Pia soma > Nakuonya Maulid Kitenge , propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana- Ngorongoro dhidi yao hazitakuacha salama.

View attachment 2109627
Ninyi Masai ndio mnatumika vibaya na washindani wetu was utalii kujua mbuga ya ngorongoro. Of all the areas in this country ndiouone mbuga ya wanyama tu ndo mnaweza kuishi? Tukisema akili zetu zinafanana na ng'ombe mtabisha? Acheni kutuharibia mbuga yetu.
 
kwani binadamu nao si wanyama??? na hao akina nyumbu,swala, nk ni wanyama pia.. sasa wanataka kuwasumbua nini watu wa mungu..Acheni wanyama waingiliane
 
Hahahaaaa mlikua mnachekaaaaa wamachinga kuondolewa sasa na nyinyi yamewakuta na tena nyinyi sio wa kuacha kabisa maana mnaharibu hifadhi ya taifa pigweni hata marungu .....
 
Wakati watu wanashinikiza wanangorongoro waondolewa nawakumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa, na serikali imekuwa ikiheshimu amri hiyo toka Sept 2018, tunataka Serikali isiyo heshimu utawala wa sheria? #Ngorongoro

View attachment 2109658View attachment 2109660View attachment 2109661View attachment 2109662

Eneo la Ngorongoro asili, lilikuwa sehemu ya Serengeti National Park wakati linaundwa na waingereza 1951. Maasai waliendelea kuishi eneo hifadhi mpya hadi 1959, wakati mgogoro na mamlaka za hifadhi kuhusu matumizi ya ardhi, waingereza wakawahamishia Ngorongoro Conservation Area.

59% ya ardhi ya wilaya Ngorongoro ipo Ngorongoro Conservation Area, ambayo ilirasimishwa 1959 kuhusika na masuala ya conservation za rasilimali za wanyama pori, kukuza utalii na maendeleo ya wakazi ndani ya hifadhi, Maasai ambayo ni jamii ya wafugaji wenye kuhama kutafuta malisho.

NCA ni eneo la 8,292 km2 ndani ya wilaya ya Ngorongoro, mkoa wa Arusha. Kuna vijiji 14 ndani ya Ngorongoro Conservation Area (NCA), kata 6 za Kakesio, Orbalbal, Endulen, Nainokanoka, Ngorongoro na Naiyobi na kata hizo zina wakazi zaidi ya 50,000 kwa sensa ya 2002.

Loliondo, ambayo pia imegawanyika katika kata na vijiji kadhaa, ni asili ya Maasai ambao kwa asili ni wafugaji na sasa kwa mahitaji ya binadamu wanalima mazao. Pia kuna jamii ya Batemi (Sonjo) na jamii nyingine ambazo pia zinaishi Loliondo, ni wakulima na pia wafugaji.

Mgawanyo huo unatengeneza vijiji vya Loliondo, Sakala, Ngwarrwa/Enguserosambu, Ololosokwan, Oloipir, Arash na Maloni. Tinaga, Mgongo, Kisangiro, Samunge, Yasimdito, Digodigo, Malambo, Piyaya, Pinyinui na Engaresero. Wakazi wengi ni wafugaji na wakulima.

Mgawanyo wa makaazi unatofautishwa na tofauti yao ubora wa rasilimali, nyanja za uzalishaji mali, historia na mila za wakaazi. Kuna upinzani wa asili wa kiuchumi kati ya jamii za Maasai na Batemi (Sonjo) na Loliondo.

Pia soma > Nakuonya Maulid Kitenge , propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana- Ngorongoro dhidi yao hazitakuacha salama.

View attachment 2109627
Naafiki wamasai waondolewe ngorongoro. Hili lilipaswa kufanyika miaka mingi. Wamasai sio wanyama hats kama wenyewe wanataka kujishusha kiasi hicho tanzania ya sasa isikubali. Hatuwezi kujenga shule zahanati na kuweka vituo vyapolisi huko crater. Ngorongoro ibakie wanyama tu sio na watu.
 
Wakati watu wanashinikiza wanangorongoro waondolewa nawakumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa, na serikali imekuwa ikiheshimu amri hiyo toka Sept 2018, tunataka Serikali isiyo heshimu utawala wa sheria? #Ngorongoro

View attachment 2109658View attachment 2109660View attachment 2109661View attachment 2109662

Eneo la Ngorongoro asili, lilikuwa sehemu ya Serengeti National Park wakati linaundwa na waingereza 1951. Maasai waliendelea kuishi eneo hifadhi mpya hadi 1959, wakati mgogoro na mamlaka za hifadhi kuhusu matumizi ya ardhi, waingereza wakawahamishia Ngorongoro Conservation Area.

59% ya ardhi ya wilaya Ngorongoro ipo Ngorongoro Conservation Area, ambayo ilirasimishwa 1959 kuhusika na masuala ya conservation za rasilimali za wanyama pori, kukuza utalii na maendeleo ya wakazi ndani ya hifadhi, Maasai ambayo ni jamii ya wafugaji wenye kuhama kutafuta malisho.

NCA ni eneo la 8,292 km2 ndani ya wilaya ya Ngorongoro, mkoa wa Arusha. Kuna vijiji 14 ndani ya Ngorongoro Conservation Area (NCA), kata 6 za Kakesio, Orbalbal, Endulen, Nainokanoka, Ngorongoro na Naiyobi na kata hizo zina wakazi zaidi ya 50,000 kwa sensa ya 2002.

Loliondo, ambayo pia imegawanyika katika kata na vijiji kadhaa, ni asili ya Maasai ambao kwa asili ni wafugaji na sasa kwa mahitaji ya binadamu wanalima mazao. Pia kuna jamii ya Batemi (Sonjo) na jamii nyingine ambazo pia zinaishi Loliondo, ni wakulima na pia wafugaji.

Mgawanyo huo unatengeneza vijiji vya Loliondo, Sakala, Ngwarrwa/Enguserosambu, Ololosokwan, Oloipir, Arash na Maloni. Tinaga, Mgongo, Kisangiro, Samunge, Yasimdito, Digodigo, Malambo, Piyaya, Pinyinui na Engaresero. Wakazi wengi ni wafugaji na wakulima.

Mgawanyo wa makaazi unatofautishwa na tofauti yao ubora wa rasilimali, nyanja za uzalishaji mali, historia na mila za wakaazi. Kuna upinzani wa asili wa kiuchumi kati ya jamii za Maasai na Batemi (Sonjo) na Loliondo.

Pia soma > Nakuonya Maulid Kitenge , propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana- Ngorongoro dhidi yao hazitakuacha salama.

View attachment 2109627
Kwamba Tanzania tuna ufinyu ardhi?hiyo ni mbuga mkuu wataftiwe eneo lingine lenye lutuba.apo wahame kwa faida ya nchi na kizazi kijacho.
 
Masai akijiweka kwenye kundi la binadamu anajiona yeye ni mkenya, akiwa mfugo anajiona anaishi mbugani ngorongoro, this is absurd.

Mbona wale wa kule Manyara hawaingii Tarangire ijapokuwa wanaizunguka Mbuga na mifugo yao walikosa malisho Ila hawakujaribu kuingiza mbugani?

Huu ubishani wote ni sababu wale waliopo ngorongoro wanapata malisho ya ng'ombe zao na wanawasukuma wanyama pori mbali zaidi.

Sio kwamba mnyama anaishi na binadamu, ni kwamba hawana namna binadamu amemfuata kwenye natural habitat yake then unatarajia afanyeje??

Ukiingia kule sehemu anayoishi Masai unaweza kuona Kama Kuna wanyama basi no pundamilia kidogo, sio wote especially tembo , Simba nk.

Wanyama wanasogea mbali sana na civilization na ukiona mnyama pori yupo karibu na civilization basi either amezoeshwa toka utotoni wa kufuga, mgonjwa au mzee kwa maana anaona ni rahisi kuwinda binadamu au kukaa na binadamu atapata ulinzi au chakula Cha kirahisi.

So uwepo wa Masai unatishia sana sio tu uwepo wa wanayama pori Bali uwezo wa kuzaliana kwao katika natural habitat, tabia ya mnyama pori inapotea Ile asili yao atafika wakati ataacha kujitegemea na kutegemea umpe chakula ,dawa nk, kugombania chakula / malisho, tunaona NCAAwanavyohangaika kuondoa magugu yanayoletwa kutoka nje ya mbuga ambapo yanaathiri sana natural habitat.

Tumewahi kuwa na majadiliano kuhusu hata magari yanayoingia mbugani yaoshwe na wahakikishe hayaingii na majani au any type of seed ya majani ambayo sio asili kwenye uoto wa mbuga husika sababu husababisha kujaribu uoto wa asili pia.

Sasa ishu ya uhifadhi haiishii kuwaondoa wamasai Ila itaenda mpaka kupunguza idadi ya magari huko baadae na itaenda Hadi kuhifadhi uoto wa asili.
 
wazaramo na wandengereko na makabila nje ya masai kaeni mbali na ngorongoro hilo eneo ni la wamasai sio la watanzania wote kama ambavyo viwanja vyenu au nyumba zenu na mashamba na vjijiji vyenu sio Mali ya watanzania wote .Kuondoka kunatakiwa ustaarabu sio kufokeana tafadhali

Ni sawa na kusema wazanzibari wamekuwa wengi wahamie bara kupisha watalii na hote za kitalii sababu population yao inakuwa kubwa mahoteli makubwa hayana pa kujenga
 
Wasiondolewe..ila iwepo population density inayoweza kuendana na eneo husika...tofauti na hapo hakuna uhai wa ngorongoro.

#MaendeleoHayanaChama
Perfect alternative ya kusolve hii issue. But una control vipi hiyo population? Waache kuzaliana?
 
~ITV naona amelivalia njuga swala hili tangu juzi kulikoni?
~mwarabu kamwaga mapesa tena?
 
Kama awali walikuwa eneo la Serengeti wakahamishwa na kusogezwa mbele na kuwa eneo la Ngorongoro kwa nini ishindikane kuhama kutoka Ngorongoro? Je, ikifanyika sensa ya kushtukiza (maana ikitolewa taarifa wanaweza kuondoka wengine kupisha sensa kisha warudi baadae) idadi ya watu waliokuwepo kipindi wanahamishwa miaka hiyo na leo ipo sawa? Hifadhi hiyo ni mali ya watanzania wote. Sasa hatuwezi kutulia tu tukiona hifadhi ipo hatarini.

Kwa kweli nilipata nafasi ya kuingia kutalii Ngorongoro, Serengeti, Manyara n.k; muingiliano wa watu, mifugo na wanyama pori ni mkubwa sn Ngorongoro. Mwisho itakuja kupoteza ule uasili wa wanyama pori.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Wamasai wahamishwe tu kule Ngorongoro.
Wamasai wameshavuka primituve stage hivyo na wao demanda zao ni sawa na raia wengine, Wamasai wanahitaji elimu, afya, mawasiliano, umeme, technolojia na huduma nyingine nyingi tu za kijamii.

Pia waalimu na watoa huduma mbalimbali wanaopelekwa kufanya utumishi wao huko umasaini wao pia wanahitaji kupata huduma nyingine zote za kimsingi na za ziada kama watanzania wengine, kuwapeleka maeneo ambayo hawataweza kupata huduma hizo ni sawa na kuwaadhibu kwa utumishi wao maeneo hayo.

Hakuna tena tija ya kuwachanganya wamasai na wanyama, hawachanganyiki tena hao, zaidi wanadhuriana
 
Back
Top Bottom