Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa.

Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03), Polisi (2) na Kampuni za Ulinzi (2).

TAMISEMI imeonekana kulalamikiwa zaidi na Wananchi wa Singida. Changamoto kubwa katika eneo hili ni nini? Hatua zinazochukuliwa zinasaidia?

1656485021003.png
 

Attachments

Back
Top Bottom