iliuzwa hadi 2400 na zaidi, lakini baada ya zile hatua imeanza kuimarika taratibu, na kitu cha muhimu sana sio shilingi kupanda thamani bali ni stability, thamani isiporomoke au kupanda hovyo.Hivi hapo kati kati ilifikia ngapi Mkuu?
maana Juzi nmesema zile kelele zimeisha nikajua imerudi kwenye 2200
Sawa Mkuu basi hongera zimwendee jiweiliuzwa hadi 2400 na zaidi, lakini baada ya zile hatua imeanza kuimarika taratibu, na kitu cha muhimu sana sio shilingi kupanda thamani bali ni stability, thamani isiporomoke au kupanda hovyo.
Na mshukuru jpm kwa mvua ya jana uck ,cfa zngne nazishangaa saana,
Ni kweli ila hebu aache uwanja sawa wa kufanya siasa bhana!kuna vitu yule mzee hua anapatia sana, japo kuna vitu pia anaharibu mno, lakini ndio ubinadamu huo hakuna mtimilifu.
Ni kweli kabisa, siasa za ushindani ni muhimu sana hata kama unafanya mazuri, pasi na ushindani hakuna ubunifu wala uwajibikaji, hii ipo hata kwenye biashara na elimu.Ni kweli ila hebu aache uwanja sawa wa kufanya siasa bhana!
Binge live amezima ila yeye kila uchwao ata km anaapisha balozi mmoja LiVE!
Hajiamini sijui kwanini!
never happenHongera hiyo ya nini na bado ni 2300[emoji15] irudi 1500 ndio tuone imeimarika
Ridhika basi walau hapo ilipofikia wakati njia zinatafutwa kuirejesha 1500 Mrs vanHongera hiyo ya nini na bado ni 2300[emoji15] irudi 1500 ndio tuone imeimarika
Kwanini unadhani JPM hajafanya juhudi zozote hapo kwenye mvua?hapo kwenye mvua sidhani kama JPM alifanya juhudi zozote 😛
ila kwenye thamani ya shilingi sote tumeona alichokifanya