dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hapo kwenye mvua sidhani kama JPM alifanya juhudi zozote [emoji14]
ila kwenye thamani ya shilingi sote tumeona alichokifanya
Poa mkuu,Sio lazima kuchangia kila thread unayo soma.
Haya mambo ya kiuchumi sio siasa rahisi na yako juu ya uwezo wako.
Waachie akina Zitto wachambue na kukosoa.
Aktoka ndo tutaasema ukwel.
Poa mkuu.Poa mkuu,
Ni kweli wakati JPM anaingia 2015 aliikuta usd 1 = TSh 2160, lakini aliikuta ikiwa inaporomoka kwa kasiAnaingia madarakani 2015 rate ya dola ilikua 2,160/=!
Nashangaa hiyo 2,315/= mnasema kasaidia nchi nashindwa kuwaelewa!
Rate imepanda kwa shilingi 155/= nzima!
Acheni umama nyie vichaa!View attachment 1058007
Haya ndio mambo yale yale anayofanya kila siku.
Tengeneza tatizo wewe mwenyewe halafu jifanye unalitatua,halafu kula utukufu wote.
Hili swala kalijenga mwenyewe baada ya kuharibu Bureau De Changes zote,bei zikapanda sasa anajifanya kurekebisha na it will not quietly come back to normal..Not at all!
Tunamjua Jiwe!
Anavuruga kwa makusudi kabisa halafu anajifanya kurekebisha with no success!
Nonsense hizi!
Ana chuki kubwa na Wakaskazi sijui walimkosea nini na Chadema hata ikiwa mahtuti bado inamtisha sana.Ni kweli ila hebu aache uwanja sawa wa kufanya siasa bhana!
Binge live amezima ila yeye kila uchwao ata km anaapisha balozi mmoja LiVE!
Hajiamini sijui kwanini!
Ni kweli wakati JPM anaingia 2015 aliikuta usd 1 = TSh 2160, lakini aliikuta ikiwa inaporomoka kwa kasi
View attachment 1058042
Hivyo japokua imeendelea kuporomoka lakini jitihada kubwa zimefanyika kupunguza kasi ya huo mporomoko, na hapo majuzi watu walipojaribu kuihujumu shilingi serikali imechukua hatua za haraka kuhakikisha hali inatengamaa!
Kwenye upande wa euro ndo hatari kabisa. The difference is 300Tshs per euro. Binafsi naona kama ni upuzi flani iviMi naona wanaoharibu zaidi ni Benki zetu, bei wanayouza ni kubwa sana ukilinganisha na wanayonunua, hii ni tofauti kabisa na nchi nyingine, utakuta kwa dola moja wanapata faida ya zaidi ya sh. 100
Sent using Jamii Forums mobile app