Fanyeni kazi acheni kupiga umbeya mwisho wa mwezi bado tayari mshaanza kulalama hela ya mwisho wa mwezi. Je mngelikuwa mnafanya kazi katika kampuni binafsi ambapo mshahara hutoka tarehe 30 si mngelia nyie vp!!!!
Hakika kikwete nchi imemshinda na itafika wakati nchi ita-collapse tu.izo sekta binafsi,labda kwa vibarua sio waajiriwa,tar ya mshahara ni kuanzia 21-25,mpaka apo esabu maumivu,serikal kushney...
hujui na hujui kuwa hujuiFanyeni kazi acheni kupiga umbeya mwisho wa mwezi bado tayari mshaanza kulalama hela ya mwisho wa mwezi. Je mngelikuwa mnafanya kazi katika kampuni binafsi ambapo mshahara hutoka tarehe 30 si mngelia nyie vp!!!!
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days now ila hundi ya mshahara haijapelekwa bank,nimemuuliza mhusika w kwa hapa ofisini kwetu anasema serikali haijaleta pesa wao wametoa slip in advance tu.
mwezi uliopita kuna mjumbe wa jf alitoa mada hii mimi sikutilia maanani kwa kuwa mwezi ulopita sisi tulipata mishahara mapema ila sasa nadhani ndio zamu yetu....
duuu napata hofu na muelekeo wa serikali yetu.au ndo ule msemo kuwa 'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
izo sekta binafsi,labda kwa vibarua sio waajiriwa,tar ya mshahara ni kuanzia 21-25,mpaka apo esabu maumivu,serikal kushney...
Sekta binafsi kwa Wahindi ni noumer mkuu....ngoma inaweza kusubiri mpaka mwezi unaofuata! teh teh...!izo sekta binafsi,labda kwa vibarua sio waajiriwa,tar ya mshahara ni kuanzia 21-25,mpaka apo esabu maumivu,serikal kushney...