Hali ya serikali ni tete? Mpaka sasa mishahara kitendawili

Fanyeni kazi acheni kupiga umbeya mwisho wa mwezi bado tayari mshaanza kulalama hela ya mwisho wa mwezi. Je mngelikuwa mnafanya kazi katika kampuni binafsi ambapo mshahara hutoka tarehe 30 si mngelia nyie vp!!!!

Mdondoaji acha ujinga, rais kwa kauli yake mwenyewe alisema kuwa watumishi wote wa serikali walipwe mishahara kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi sijui kama hilo unalikumbuka.
Sasa sijui wakati rais alipotoa kauli hiyo alikuwa out mind? Yote kwa yote nina marafiki zangu waliopo TPDF, TPF,TPS wote mpaka sasa wamekiri kutokupokea mshahara wa mwezi November!!
Nilipododosa zaidi wakasema wanasubiri hundi kutoka hazina ili wapeleke bank.
Hiyo siyo dalili nzuri kwa serikali kuchelewesha mishahara ya watumishi wake.
Swali la msingi kwa nini serikali icheleweshe mishahara ya watumishi wake, inapata faida gani zaidi ya kujinukisha kuwa imefilisika?
Kama kweli serikali inapinga tetesi za kuwa dhoofu kiuchumi haina haja ya kupinga kwa maneno bali kwa vitendo cha kwanza na umuhimu kwa ustawi wa afya yake ni kuwahisha mishahara ya watumishi wake.
 

A Work place is like tree with Monkeys the top branches monkeys will look at the bottom branches monkeys and see smile faces,and the bottom branches monkeys will look at the top branches monkeys and see ass holes
 

Sizani kama nalazimika kuongea mengi zaidi ya kukuambia tu "POLE SANA!"
 

mKUU, mwenzio nishaanza kusinzia hapa halafu nawe wanichekesha hadi umenifukizishia usingizi wangu!!! Mbwembwe za nini ktk utendaji?! Yaani kv tu wana-JF wanasema serikali imefilisika ndo basi tena lazima waoneshe kwamba bado wako fit?! Hivi tangu tulipoambiwa serikali imefilisika hapo leo!!! Alianza Zitto Kabwe, zaidi ya miezi 4 iliyopita,lakini tunaona wa2 wanadunda tu!!! Let's be reasonable, mapato ya serikali ya uhakika ni yale yatokanayo na makusanyo ya kodi kupitia TRA. Then, hebu tuangalie mapato ya TRA miezi 12 iliyopita halafu tuangalie na mapato kwa sasa (halafu tu-adjust inflation) na kisha tuone kuna deficit kiasi gani!!! Ukitumia simple logic kama hii pekee, wala mtu hawezi kunishawishi kusema serikali inafilisika unless niangalie suala hili kisiasa zaidi!
 
Umezingumza vizuri lakini narudia pale pale kufilisika ni mchakato siyo kwamba ukiambiwa serikali imefilisika basi baada ya muda mfupi utasikia imefilisiwa kama kampuni zinavyofanyiwa!!!!
Kushindwa kutoa mishahara kwa wakati, nasikia hata migao ya kila mwezi kwa wizara zake baadhi bado haijapelekwa karibu mwezi miwili bila sababu za msingi!!!! All these are indicatators za kukaribia mufilisi. Ukiwa na mdeni wako, anakuzungusha zungusha kukulipa deni lako lakini wewe unaamini kuwa licha ya kuwa na madeni mengi atakulipa tu, hiyo siyo dalili nzuri mkuu.
Kwa hili inabidi serikali ibadilike, sioni inachokipata cha maana zaidi ya kuvuna kashfa.
 
Tunataka salary yetu plizzzzz.Hatuna masikhara kabisaaaaaaa
 

Vipi kiongozi mbona kama unatujenga hofu!!!!Source ya hiyo information ni wapi????sisi wengine ni wadadisi wa mambo, so tungependa kujua source ya hiyo information yako ili ipate sifa ya kuwa reliable information.
 
Duuu kumbe watu wengi hawajapata mshahara aisee, sio mchezo kwa kweli......Poleni sana
 
Mwezi huu wana mpango wa kuchukua tanapa. Mshahara utatoka tarehe 34. Msiwe na hofu chapeni kazi hata kama mna njaa. Nasikia wafanyakazi wengi tz wanafanyia kazi madeni? Ni ya kweli haya?
 
Wanajeshi mpaka leo hawaja vuta!

>>>>>>>>>>>>> Mguuuuuuuuuuuuuu Pande..........!!!!!!!!!!!!!!! Mguuuuuuuuuuuu Sawa.........!!!!!!!!!!
usilete utani hawa jamaa si nasikia huwa wanavuta kabla zaidi...........!!!!!!!!!! Wasije wakatu-Mseveni...........!!!!!!!!!!!
Jana wameshinda wanafanya mazoezi barabara ya B'moyo yote.............. kweli hawajala......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Ngoja niwapigie wajeda wawili ambao nawafahamu wanipe ukweli ktk hili.....mmoja ni wa ngazi za chini na mwingine officer ili ni-balance isije maofisa wamepata na wakina sisi ndio vile tena!!!
 

Nakubaliana na wewe kwamba kufilisika ni mchakato!!! Hata hivyo, point yangu ni kwamba, mimi nimeshahusika sana na suala hili la mishahara wakati nipo benki fulani miaka michache iliyopita. Fluctuation ya tarehe za kulipa mishahara haijaanza leo, hivyo ikiwa fluctuation hiyo ndio dalili ya kufilisika basi ingekuwa tumeshafilisika zamani. Mkuu, asikuambie mtu; kufilisika sio kitu rahisi kiac hicho. Inawezekana, lakini ktk mazingira ya sasa bado sana na hakuna indicator ya kufilisika.....suala la kuchelewa mishahara wiki moja au mbili bado sio kigezo cha kufilisika.Kuna wakati fulani nilikuwa nahusika na posting ya mishahara ya TAZARA, ilifikia wakati una-post mshahara November kumbe ndo mshahara wa September huo!!!!! Je, sisi (kwa maana ya TZ gvt) tumekaribia huko?!
 
Najiuliza zitakakotoka fedha za kuwaongezea mishahara wabunge! Maana kama hii ya Laki Tatu inawashinda kulipa, wanawezaje kufikiria kuwaongeza wanaolipwa milioni Saba!!!!! ..............Hii akili au matope!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jk kwishnei.mwezi uliopita walimu wa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini walipata mishahara tarehe 10
 
Movie nyingine bwana yaani hujui sterling ni nani Wala jambazi ni nani? Yaani inakwenda kwenda tu du ...... Tanzania zaidi ya uijuavyo
 

lakini mkuu si hata jk alishawahi kusema kuwa ukitaka kula ni lazima uliwe kidogo? Au nilimkot vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…