Lakini mbona jeshini hakuna upuuzi wa kucheleweshewa mishahara?. Sijui polisi na magereza lakini JWTZ hakuna upuuzi huo kabisa.
Mwezi uliopita walichukua pesa toka TCRA, hawakuwa na namna! Mwezi huu haitawezekana kwa kuwa wakichukua tena TCRA wameonywa kuwa wataiuwa taasisi hiyo, labda wataelekea NSSF au GEPF.
Ambaye atanibishia kuhusu hili la serikali kukopa TCRA na kufilisika naye atakuwa amefilisika kimawazo
wewe mleta hii mada utakuwa na mental retaditioon kwa vyovyote vile iwavyo. Leo ni tarehe ngapi?wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days now ila hundi ya mshahara haijapelekwa bank,nimemuuliza mhusika w kwa hapa ofisini kwetu anasema serikali haijaleta pesa wao wametoa slip in advance tu.
mwezi uliopita kuna mjumbe wa jf alitoa mada hii mimi sikutilia maanani kwa kuwa mwezi ulopita sisi tulipata mishahara mapema ila sasa nadhani ndio zamu yetu....
duuu napata hofu na muelekeo wa serikali yetu.au ndo ule msemo kuwa 'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
Mwezi uliopita walichukua pesa toka TCRA, hawakuwa na namna! Mwezi huu haitawezekana kwa kuwa wakichukua tena TCRA wameonywa kuwa wataiuwa taasisi hiyo, labda wataelekea NSSF au GEPF.
Ambaye atanibishia kuhusu hili la serikali kukopa TCRA na kufilisika naye atakuwa amefilisika kimawazo
mwezi huu ni deshi tuwe wavumilivu, tusije tukavunja amani ya nchi yetu. poleni sana wafanyakazi
mkuu sijakuelewa,inawezekana wewe ndo una mental retardation.jicheck vizuriwewe mleta hii mada utakuwa na mental retaditioon kwa vyovyote vile iwavyo. Leo ni tarehe ngapi?
wanajf salaam!
hivi ni kweli kwamba hali ya serikali ni tete kiasi cha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi mpaka sasa?
nikiwa miongoni mwa wafanyakazi wa umma,nimepata salary slip yapata 4 days now ila hundi ya mshahara haijapelekwa bank,nimemuuliza mhusika w kwa hapa ofisini kwetu anasema serikali haijaleta pesa wao wametoa slip in advance tu.
mwezi uliopita kuna mjumbe wa jf alitoa mada hii mimi sikutilia maanani kwa kuwa mwezi ulopita sisi tulipata mishahara mapema ila sasa nadhani ndio zamu yetu....
duuu napata hofu na muelekeo wa serikali yetu.au ndo ule msemo kuwa 'nchi imeshauzwa?'
nawasilisha.
Mliimchagua wenyewe huyo JK last year, subirini mnae huyo hadi 2015. Mtavuna mlichopanda
Sasa nimekupata vyema. Uko sahihi lakini naomba nikujuze kitu fulani kuwa hao askari viongozi wao wengi hawana shida kabisa kwa sababu ya marupurupu na ufisadi wanaoufanya.
Kazi yao ni kukilinda chama tawala kwa gharama yoyoye ile!!!!! Askari walio chini wengi ni form 4 hivyo hata vimshahara wanavyopewa wanaona vinakidhi haja lakini wanashindwa kujiuliza kwa nini hawalipwi stahiki zao kwa wakati, mathalani mtu akihama,likizo n.k
Majuzi nilikuwa nasikia Nahodha Shamsi Vwai akisema serikali imelipa 14bill madeni ya Polisi na Magereza ambayi ni mwaka 2007-2009 June. Kwa hiyo ina maana mpaka sasa serikali bado inadaiwa madeni ya 2009 July - 2011 na bado wanaichekea serikali kwa kupiga wananchi na kuzuia maandamano kila kukicha halafu wananchi hao hao ndiyo wanaorudia kwa kuwaomba rushwa na kuwabambikia makosa ya uongo!!!
Inasikitisha sana, naomba siku wakose kabisa mishahara ili viti visikalike huko maofisini.
...muda huu mke wangu ambaye ni mtumishi wa umma amenpigia simu yuko benki,ameniambia ktk mshahara wake amekuta tsh 100,000 zimekatwa bila kuharifiwa...
Kuna tetesi nimesikia wahadhiri wa vyuo vikuu kama UDSM, Sokoine, IFM, UDOM, manesi na madaktari hawajalipwa mishahara yao hadi leo. Inawezekana kweli serikali imekwama kwani jamaa wanalipwa mshahara mapema sana kushinda taasisi zenginezo ila leo nimesikia hawajalipwa hadi leo.
Kuna jamaa yupo serikalini amenitisha kishenzi, anadai hata wao waliopo NMB hawajapata mishahara ilihali huwa wanapata kabla ya tarehe25 na baada ya siku mbili tatu walio katika mabenki mengine nao hupata. hii inamaana kwamba watu NMB wakipata hata kesho basi walio mabenki mengine watapata zaidi ya tarehe2 mwezi ujao. Sikutegemea kama ipo siku serikali itachoka kiasi hiki kuna watu walio karibu na wahusika wanadai umechukuliwa mkopo lakini kuna makosa ya kiufundi mkopo haujafika kwa wakati.Hebu rekebisha usemi wako, hiyo si tetesi. Itabidi miaka minne iliyobaki Ikulu/serikali itabidi itafute mwekezaji wa kuiendesha.
wewe mleta hii mada utakuwa na mental retaditioon kwa vyovyote vile iwavyo. Leo ni tarehe ngapi?