Hali ya simba jana ilikuwa mbaya sana, Simba bado sana

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Hii nI black and white. Simba Jana waliokolewa na marefa na kukosa umakini wa forward za Yanga.

Jana Dube alienda kushangilia kabla goli halijaiingia. Angekuwa mtulivu angemaliza mchezo.

Goli LA Aziz Ki, Pacome japo marefa wanasema Zilikuwa offside.

Chama mwishoni naye alikosa umakini akashindwa kumalizia pass kutoka kwa maize

Upande wa Simba sikuona chochote zaidi ya kukimbiakimbia tu. Hakukuwa na threat yeyote DK 90 kwenye goli LA Yanga. Simba walikuwa wanapasiana tu.

Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka Jana.
 
Lazima iwe mbaya kwa kufananisha na yanga iliyo pamoja kwa msimu wa 3. Simba ya wiki 4 itakuaje bora? Na kama kipa wao camara YY tu anacku 6 na kikosi!! Atafanana na Diara kwa miaka 2 ligi ya bongo.
Simba wakuli kua kwa sasa wanajenga timu yao tu. KAZI ni kipimo cha UTU.
 
Nimeendelea kuwashangaa sana wanaosema Simba itaimarika wale wachezaji wote pale ndio peak ya uwezo wao Wala hakutakuwa na jipya.

Yes Dube alikosea sana hadi tukio likamtoa mchezoni. Refa kazuia goli mbili za wazi na penalty. Simba haitakaa ifanye vizuri msimu huu ila Azam ataleta ushindani.
 
Majirani hampendi tupate amani ya moyo hata kidogo...kwani si mmeshashinda
 
Ubaya ubwela..upuuzi mtupu
 
UBAYA UBWELA...

Timu yenu mbovu kabisa. Watu wako pamoja miaka zaidi ya miwili wanapelekeshwa kama gari bovu na timu Iko kambini hata mwezi haijamaliza.

Utopolo WAHED nyiee.πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜œ
 
Umecopy kwenye page ya nani haya maandishi? Mpira ni professional ulichokiandika hapa sio kwa utashi wako ila umecopy kwenye page ya shabiki maandazi asiyejua mpira na wewe umekuja kuuweka kama uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…