ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Hii nI black and white. Simba Jana waliokolewa na marefa na kukosa umakini wa forward za Yanga.
Jana Dube alienda kushangilia kabla goli halijaiingia. Angekuwa mtulivu angemaliza mchezo.
Goli LA Aziz Ki, Pacome japo marefa wanasema Zilikuwa offside.
Chama mwishoni naye alikosa umakini akashindwa kumalizia pass kutoka kwa maize
Upande wa Simba sikuona chochote zaidi ya kukimbiakimbia tu. Hakukuwa na threat yeyote DK 90 kwenye goli LA Yanga. Simba walikuwa wanapasiana tu.
Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka Jana.