Duh! Kweli mkuu? Na kama ni kweli hii inaonyesha hawa vijana wamesharidhika na maisha na huko Misri wanakwenda kutalii tu tusitegemee jipya.Na hata mechi ya Simba vs Mashujaa wacheza wa Simba karibu wote walilewa na kushindwa kucheza. Waliishia kulala kwenye magari tu. Hata Chama aliyeingia kipindi cha pili alikuwa amelewa. Kwa hiyo alicheza na pombe kichwani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya Mo mlikuwa na bahati gani!!?Mo ana gundu akomae na kinywaji tu na sabuni zake zisokuwa na povu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi ni mshabiki wa JKT RUVU hujui tuKabla ya Mo mlikuwa na bahati gani!!?
Simba hii ya Mo ni afadhali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu matusi ya nini? Hii hoja inayohitaji mjadala, na huo ndiyo mchango wangu, hutaki pita tu. Hata hivyo wewe msomi wa PhD level tumekusoma, maana mchango unaonyesha dhahiri ulichonacho kichwani mwako. Hata anaweza kutoa mawazo ya kujenga kuliko hiyo PhD makanikia uliyonayo.We bw.ege mwenzio anazungumzia uzembe na ukosefu wa weledi na nidhamu wa timu ya Simba. Halalamikii timu kufungwa. Darasa la saba mnasumbua sana. Hamwelewagi mada....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeandika kwa herufi ndogo ingependeza zaidi.NI WAZI KWAMBA MO DEWJI ANAPIGWA HELA ZAKE NA MATAPELI YALIYOMZUNGUKA.MAZEE YA TEN PERCENT YAMEOKOTA WACHEZAJI FEKI HUKO NJE KWA KUSHIRIKIANA NA MZUNGU WANADAI WANAWAFANYIA MAJARIBIO YANAWAPA WAANDISHI NJAA VI LAKI MBILI MBILI KUPAMBA KWENYE MAGAZETI KWAMBA MAJEMBE YAMEINGIA BONGO
KUNA MWINGINE YEYE ANAROPOKAROPOKA HADI IMEMSAIDIA KUPATA VIJISENTI,KUPATA UBALOZI WA KAMPUNI,KUHAMA TOKA USWAHILINI HADI MIKOCHENI,KUWA STAA NCHI NZIMA NA KUTUDANGANYA KWAMBA CLATOUS CHAMA NI MMOJAWAPO YA WACHEZAJI BORA 11 DUNIANI
KUNA WACHEZAJI JUZI WALIENDA CLUB ONE DAY BEFORE DISASTROUS PERFOMANCE NA BANDARI,ALIKUA NIYONZIMA,WAWA,MO IBRAHIM,DILUNGA NA MKUDE.HAKUNA WA KUSIMAMIA NIDHAMU TENA SIMBA KILA MTU ANAWAZA KUPIGA HELA ZA MO
TEAM HADI LEO HAINA KOCHA MASAIDIZI KUNA KOCHA SIJUI WA VIUNGO HUWA ANAWAWEKA KWENYE VITAULO VILE WANALALA UTADHANI KAMA JAMES DELICIOUS
WACHEZAJI WANACHEZA WAMELEGEA KWELI HALAFU HAWANA SPIRIT YA KUPAMBANA,HOVYO KABISA,LAZY BASTARDS,WAFANYAKAZI HEWA
CHA KUFANYA SASA KAMA KILE KIKUNDI KIDOGO KILICHOZOMEA JUZI BAADA YA MECHI YA BANDARI INABIDI KESHO KUISHANGILIA MBAO KWA NGUVU NA KUMPUUZA ALBINO MAANA YEYE ANACHOJALI SASA HIVI NI LOTION YAKE,PAFYUMU NA BIRTHDAY YAKE KWA KIFUPI ANAFURAHIA BRAND YAKE
******NAMUONEA HURUMA SANA MOHAMED DEWJI,VISION YAKO KUHUSU SIMBA HAITAFANIKIWA KWA SQUAD HII,HAWANA PASSION HAWANA NIDHAMU,TAKATAKA ...NIMEPOTEZA MATUMAINI NAFIKIRI MECHI YA ISMAILIA TUTAKULA GOALS 10.
SIMBA TUMEKUWA TUKILALAMIKA DEFENCE MUDA MREFU ,YES KIUKWELI TULI HYPE SANA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI ILA KUNA ISHU HATA KOCHA WA NKANA WA VITA NA HASSAN KESSY WALISEMA KUHUSU SIMBA HAKIFANYIWI KAZI.THEY ARE LAZY NA HALI INAZIDI KUWA MBAYA,WACHEZAJI 8 WANAENDA CLUB NA KUFANYA NGONO SIKU MOJA KABLA YA MECHI YA BANDARI NA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA NA BADO WANAPANGWA?HAWATAKI KUJITUMA KABISA UWANJANI, NAHISI WENGI NI MACHOKO WAMELEGEA KAMA MLENDA.PIA WANAOKUJA SIMBA WAKIWA SERIOUS BAADA YA MUDA NAO WANAKUWA MASIHARA KAMA CLATOUS CHAMA KWA SASA AMEKUWA MTU WA MASIHARA NA KUCHUKULIA POA SABABU NDIYO MFUMO ULIOPO.KILA KITU POAPOA TU ALI MRADI WANAKULA HELA ZA MO DEWJI BUREBURE.
PHD makaninia ndio kitu gani hicho?Sasa mkuu matusi ya nini? Hii hoja inayohitaji mjadala, na huo ndiyo mchango wangu, hutaki pita tu. Hata hivyo wewe msomi wa PhD level tumekusoma, maana mchango unaonyesha dhahiri ulichonacho kichwani mwako. Hata anaweza kutoa mawazo ya kujenga kuliko hiyo PhD makanikia uliyonayo.
Hahahaha, ndio ile yuko na mdada kavaa nguo nyekundu huyo mdada ?Wawa nimeona video yake alivyotoroka alikuwa kwa mwanamke wake wanasherehekea bday inasikitisha sana
Ni wazi kwamba Mo Dewji anapigwa hela zake na matapeli yaliyomzunguka. Mazee ya ten percent yameokota wachezaji feki huko nje kwa kushirikiana na mzungu wanadai wanawafanyia majaribio yanawapa waandishi njaa vi laki mbili mbili kupamba kwenye magazeti kwamba majembe yameingia bongo
Kuna mwingine yeye anaropokaropoka hadi imemsaidia kupata vijisenti,kupata ubalozi wa kampuni,kuhama toka uswahilini hadi mikocheni,kuwa staa nchi nzima na kutudanganya kwamba Clatous Chama ni mmoja wapo ya wachezaji bora 11 duniani
Kuna wachezaji juzi walienda club one day before disastrous perfomance na Bandari, alikuwa Niyonzima, Wawa, Mo Ibrahim, Dilunga na Mkude. Hakuna wa kusimamia nidhamu tena Simba kila mtu anawaza kupiga hela za Mo Dewji
Team hadi leo haina kocha masaidizi kuna kocha sijui wa viungo huwa anawaweka kwenye vitaulo vile wanalala utadhani kama James Delicious
Wachezaji wanacheza wamelegea kweli halafu hawana spirit ya kupambana,hovyo kabisa,lazy bastards,wafanyakazi hewa
Cha kufanya sasa kama kile kikundi kidogo kilichozomea juzi baada ya mechi ya Bandari inabidi kesho kuishangilia Mbao kwa nguvu na kumpuuza albino maana yeye anachojali sasa hivi ni lotion yake,pafyumu na birthday yake kwa kifupi anafurahia brand yake
******
Namuonea huruma sana Mo Dewji ,vision yako kuhusu Simba haitafanikiwa kwa squad hii,hawana passion hawana nidhamu,takataka ...Nimepoteza matumaini nafikiri mechi ya Ismailia tutakula goals 10.
kufanikiwa kufanyaje mkuu,maana simba ndio mabingwa kwa sasa na timu imefuzu hatua ya makundi na ndio club pekee kwa ukanda wa afrika mashariki iliyofuzu hatua ya makundi ,imecheza mechi mbili hartua ya makundi ,imeshinda moja na imepoteza moja.au kwako mafanikio ni sportpesa na mapinduziMo hakuna timu anayochukua ikafanikiwa, zilishamshinda African Lion na Singida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyohiyo ya wawa mwanamke aliyevaa gauni nyekunduHahahaha, ndio ile yuko na mdada kavaa nguo nyekundu huyo mdada ?
Kn video nyingine naona mchezaji mmoja wa Simba anamfanyia kitendo kibaya binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tunaoijua simba uchoko kwa simba ni jambo la kawaida viongozi wakubwa wa simba kazi ya kusifia mapaja ya wachezaji wao. Viongozi hawa mabasha wanaingilia mpaka usajiliwanacheza wametepeta kama machoko,halafu wachezaji wanatoroka kwenda club na kulaala na machagudoa siku moja kabla ya mechi hawachukiliwi hatu|?kuna team kweli hapo?simba siyo ya zamani haijui kupiga kona na free kicks,kona zinapigwa fupi zinarudi hadi golini kwa manula na pasi zisizo na faida..yaani wanacheza ili mradi dakika 90 ziishe wakale pombe na mademu.POLE SANA MO DEWJI kwa kuliwa hela zako.
Hiyo nyingine ni mbaya zaidi ,ni udhalilishaji mkubwa sana kwa yule bintiHiyohiyo ya wawa mwanamke aliyevaa gauni nyekundu
Hiyo nyingine sijaiona, kwa style hii watachezaje mpira vizuri usiku walikesha kwenye mambo yao
Weka mambo hadharani Mkuu,kama vipi njoo pmHiyo nyingine ni mbaya zaidi ,ni udhalilishaji mkubwa sana kwa yule binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Mkuu mtaiona tu nadhani inatembea huko wasap ,ile binafsi naona ni jela ,ni zaidi ya udhalilishaji