Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

SIMBA TUMEKUWA TUKILALAMIKA DEFENCE MUDA MREFU ,YES KIUKWELI TULI HYPE SANA KUFIKA HATUA YA MAKUNDI ILA KUNA ISHU HATA KOCHA WA NKANA WA VITA NA HASSAN KESSY WALISEMA KUHUSU SIMBA HAKIFANYIWI KAZI.THEY ARE LAZY NA HALI INAZIDI KUWA MBAYA,WACHEZAJI 8 WANAENDA CLUB NA KUFANYA NGONO SIKU MOJA KABLA YA MECHI YA BANDARI NA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA NA BADO WANAPANGWA?HAWATAKI KUJITUMA KABISA UWANJANI, NAHISI WENGI NI MACHOKO WAMELEGEA KAMA MLENDA.PIA WANAOKUJA SIMBA WAKIWA SERIOUS BAADA YA MUDA NAO WANAKUWA MASIHARA KAMA CLATOUS CHAMA KWA SASA AMEKUWA MTU WA MASIHARA NA KUCHUKULIA POA SABABU NDIYO MFUMO ULIOPO.KILA KITU POAPOA TU ALI MRADI WANAKULA HELA ZA MO DEWJI BUREBURE.
Aliwaambia ukweli,mkampuuza
 
Simba kuna wapiga dili hatari mo. Analiwa hela ubingwa wanatoka kapa mwaka huu kuanzia ligi kuu mpaka ligi ya mabingwa
 
Thread gani hizo sasa hela inapigwa je ….kama huna cha kuandika kakae na watotot mcheze...
KUTOKA KAMBINI NIISSUE na uongozi umeona na kuwakemea wahusika
BE POSITIVE MKUUU
 
Thread gani hizo sasa hela inapigwa je ….kama huna cha kuandika kakae na watotot mcheze...
KUTOKA KAMBINI NIISSUE na uongozi umeona na kuwakemea wahusika
BE POSITIVE MKUUU
ACHENI KUIBA HELA ZA MO , WENGINE WACHANGIAJI WAMEELEWA ZINAIBWAJE NYIE MNAZIMA MOTO KWA PETROL
 
NZAGAMBA NJOO NA HOJA ILE SASA NI SIMBA AMBAYO NI TAASISSI NA CEO ….acha wivu na hoja mfu sema wazi zinaibwaje vyombo husika viingie kazini...sio kuja na porojo tu kupitisha muda….
 
Simba kupoteza muda mwingi kujinyoosha kwenye Vitaulo matokeo yake ni kuwa fanya wachezaji wawe legelege zaidi na zaidi.
Wenzao wanatumia muda mwingi kufanya mazoezi ya
Kucheza kwa kasi
Kupiga na kufunga mipira ya kona na adhabu.
Kuzuia mashambulizi ya kona na adhabu.
Kutofanya rafu kalibu na goli,
Kukaba mipira ya juu na chini,
Kufunga
Kuzuia
Kushambulia kwa kasi
NK
Simba wakimaliza kujinyoosha kwenye vitaulo kocha mkuu anawapa mazoezi ya kuweka mtu kati na vipasipasi visivyo na malengo.
Hakuna mazoezi maalum ya mabeki na washambuliaji.
Kwa ujumla tatizo la Simba linaanza kwenye aina ya mazoezi wanayopewa na Kocha.
Mazoezi ya Kifadhafadha, mabeki wazito, washambukiaji wazito kila mtu ni mzito.

Mazoezi ya Simba yamegeuka kuwa Mazoezi ya Viungo na sio mazoezi ya Mpira wa miguu.

Kwa mtindo huu, pamoja na mfumo wa uwekezaji Simba haipati hata kombe moja mwaka huu.
Mwakani watakuwa watazamaji tu.




Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya Aerobics na massage wakuu....ndiyo mambo ya ulaya hayo wakuu
 
Lakini ilipowatoa Mbabane Swallow na Nkana fc na kisha kuibugiza Js Soura magoli matatu kwa mtungi, haikuonekana hayo mapungufu zaidi ya mashabiki kujiona wana bonge la timu inayoweza kumfunga timu yeyote ile Africa. Na baadhi ya washabiki humu humu JF wakakili ya kwamba As Vital na Al Ahyl wanapigika huko huko kwao kwavile tu wameona wana viwango vya kawaida sana kulinganisha na Simba; hii kauli ilikuja baada ya kuangalia mechi kati ya Al Ahyl vs As Vital.

Faraja ya maneno yakaongezeka zaidi baada ya kitendo cha Al Ahyl kutoa sare na JS Soura, ndipo dharau ikazidi kuongezeka kujiona Simba imekamilika kila idara zaidi ya wapinzani wao wote wa kwenye kundi lao. Timu ya Simba imekuwa mbovu baada ya kufungwa magoli matano na As Vital na Bandari? au tokea awali? kama tokea awali, kwanini hakuyasemwa haya yote kabla au ilionekana timu imekamilika kwavile timu ilikua matokeo? Je zile tambo zilizokuwa zinatolewa kipindi mnapata matokeo ya kwamba Simba ina kikosi kipana, Simba inaweza cheza na timu yeyote ile, Simba hii hakuna timu ya kumtisha kwa Africa, je wale wachezaji waliofanya washabiki wa Simba wavimbe kichwa wameuzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mkuu umenikumbusha ule ugonvi wa under dog albino vs shafii dauda... leo tunajua kwamba shafii ni mchambuzi haswaa na lile li albino linasubir kukata mauno timu ikishinda
 
NZAGAMBA NJOO NA HOJA ILE SASA NI SIMBA AMBAYO NI TAASISSI NA CEO ….acha wivu na hoja mfu sema wazi zinaibwaje vyombo husika viingie kazini...sio kuja na porojo tu kupitisha muda….
wanashindwa kuchukua hatua dhidi ya watovu wa nidhamu kama hawa wanaotoroka kambini one day before match kuhudhuria birthday na kesho yake wanapangwa, huyo CEO ANAFANYA NINI?AU YALE MADUDU YA NSSF KAYAHAMISHIA SIMBA?mbona wachezaji wa simba siku hizi wanafanya utovu wa nidhamu bila uoga wowote?tukisema mnatuambia tuna WIVU MARA MASKINI TUNATUMIA VI TECNO VYA 70,000. anyway kila la heri jumamosi tutashan
MLEVI   WAWA.PNG
gilia tu kwa imani tutapata hata droo hiyo ni kama WACHEZAJI WATAKUWA HAWAJALEWA
 
washapewa onyo mkuuu sio muda wa kufukuzana huuuuu tutulie
 
washapewa onyo mkuuu sio muda wa kufukuzana huuuuu tutulie
wazeee wa ten percent hawataki mishahara ikatwe maana lile fungu lao la kudonoa kwa kila mchezaji mwisho wa mwezi halitakuwepo.siyo kwamba wanasimamia nidhamu,wafanyakazi wa kiwanda cha juisi cha MO dewji hawawezi kwenda kazini wamelewa wakaharibu kazi meneja akawachekea tu,only team ya simba ndo uwekezaji wa Mo kusipo na nidhamu,inaudhi sana,tukilalalmika tunaambiwa mnajua nusu ya bodaboda za ifakara ni za kichuya?so what?
 
wanashindwa kuchukua hatua dhidi ya watovu wa nidhamu kama hawa wanaotoroka kambini one day before match kuhudhuria birthday na kesho yake wanapangwa, huyo CEO ANAFANYA NINI?AU YALE MADUDU YA NSSF KAYAHAMISHIA SIMBA?mbona wachezaji wa simba siku hizi wanafanya utovu wa nidhamu bila uoga wowote?tukisema mnatuambia tuna WIVU MARA MASKINI TUNATUMIA VI TECNO VYA 70,000. anyway kila la heri jumamosi tutashanView attachment 1007880gilia tu kwa imani tutapata hata droo hiyo ni kama WACHEZAJI WATAKUWA HAWAJALEWA
Usiogope mkuu mbivu na mbichi zao tutaziona hapo Misri huwezi kuamini siku zinavyoenda badala ya timu kuimarika inageuka kituko
 
Back
Top Bottom