Simba kupoteza muda mwingi kujinyoosha kwenye Vitaulo matokeo yake ni kuwa fanya wachezaji wawe legelege zaidi na zaidi.
Wenzao wanatumia muda mwingi kufanya mazoezi ya
Kucheza kwa kasi
Kupiga na kufunga mipira ya kona na adhabu.
Kuzuia mashambulizi ya kona na adhabu.
Kutofanya rafu kalibu na goli,
Kukaba mipira ya juu na chini,
Kufunga
Kuzuia
Kushambulia kwa kasi
NK
Simba wakimaliza kujinyoosha kwenye vitaulo kocha mkuu anawapa mazoezi ya kuweka mtu kati na vipasipasi visivyo na malengo.
Hakuna mazoezi maalum ya mabeki na washambuliaji.
Kwa ujumla tatizo la Simba linaanza kwenye aina ya mazoezi wanayopewa na Kocha.
Mazoezi ya Kifadhafadha, mabeki wazito, washambukiaji wazito kila mtu ni mzito.
Mazoezi ya Simba yamegeuka kuwa Mazoezi ya Viungo na sio mazoezi ya Mpira wa miguu.
Kwa mtindo huu, pamoja na mfumo wa uwekezaji Simba haipati hata kombe moja mwaka huu.
Mwakani watakuwa watazamaji tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app