Hali ya sintofahamu

Hali ya sintofahamu

Jerry de Marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
213
Reaction score
41
bila shaka mu wazima wa afya,jambo ambalo linanitatiza na kuniumiza akili ni kuwa kuna wakati nawashwa sana katika korodani hali ambayo hupelekea eneo hilo kubabuka.Hali hii hutokea kwa nyakati tofauti ambapo nyakati zingine haitokei,nnachojiuliza je ni hai ya hewa ndo inasababisha haya maana nikiwa nyumbani mkoani haijawahi tokea isipokuwa nikiwa dar.Watalaamu naombeni msaada wenu
 
yawe.za kuwa joto na ukizingatia unavaa nguo .za kubana ....
 
Back
Top Bottom