BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Licha ya Serikali kutangaza kuibuka kwa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Wilaya ya Ilala, bado hali ya Masoko ya Vyakula ni mbaya kwenye suala la Usafi kutokana na miundombinu mibovu ikiweko kukosekana mifereji ya kupitisha Maji Machafu, Uhaba wa Vizimba unaosababisha Wafanyabiashara kupanga bidhaa chini bila kujali uchafu unapita na maji.
Nashindwa kuelewa Serikali inashindwaje kuweka sawa maeneo muhimu kama Masoko.
Hii ndio hali halisi ya Soko la Ilala asubuhi ya leo
Nashindwa kuelewa Serikali inashindwaje kuweka sawa maeneo muhimu kama Masoko.
Hii ndio hali halisi ya Soko la Ilala asubuhi ya leo