Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

Haya ndio matatizo ya kulazimisha watu kuongozwa na watu ambao sio viongozi.Uongozi wa wakati ule ulichaguliwa na raia wakijua hawa ni viongozi,leo mambo yamebadilika
 
Dah! Miaka ya nyuma Moshi ndio ilikuwa inaongoza kwa usafi Tanzania nzima, ulikuwa ukidondosha hata kipisi cha sigara unalimwa fine ya 50k....... Leo umekuwa mji unaongoza kwa uchafu Tanzania.... CCM shikamoo!
 


Nakumbuka wakati najiandaa kwenda kusoma chuo huko Moshi miaka hiyo niliambiwa nikifika niwe makini sana nisitupe taka hovyo. Wengine waliniambia hata mate usiteme.

Kweli nilipofika, stand na mazingira kwa ujumla ni masafi sana na kulikuwa na ndoo maalumu za kuhifadhi taka pembeni ya barabara na njia za watembea kwa miguu.

Nafikiri hali ya sasa imekuwa hivyo kwa sababu ya pengine kulegalega kwa wasimamizi.

Hata hivyo bado wanaweza kuchukua hatua na kuurudisha mji katika hali yake ya usafi ya awali.
 
Nilivoenda Moshi like 17 years back tofauti na nilivoikuta nilivoenda last year.
Hamna kituuu, kuchafu km huku kwetu
 
Tangu Chadema idondoke ...CCM wametuletea maendeleo wanayoyaweza Moshi, Takataka.
 
Hayo ni matokeo ya CCM kuongoza Moshi,wakati CDM ikiwa madarakani ndio usafi ulikuwa juu.
Watanzania wakiambiwa ccm ni chama chenye fikra chakavu na fikra za kutoweza kila kitu hawaelewi.Ngoja watu wajifunze kwa njia ngumu
 
Back
Top Bottom