milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ulikuwa msafi ulipokuwa chini ya uongozi wa chadema tangu ccm wachukue uchafu umerudi kila mahaliKuna kipindi Moshi ulikuwa ndiyo mji msafi Afrika nzima. Ndugu zangu wachagga kimewakuta nini, mbona mlikuwa watu wasafi sana ?
ππππUlikuwa msafi ulipokuwa chini ya uongozi wa chadema tangu ccm wachukue uchafu umerudi kila mahali
Chadema.iliondoka.na usafi wake. Wamekuja wachafu na mji ukajeuka.kua mchafu.Kuna kipindi Moshi ulikuwa ndiyo mji msafi Afrika nzima. Ndugu zangu wachagga kimewakuta nini, mbona mlikuwa watu wasafi sana ?
CHADEMA ndio walikuwa wakiiweza manispaa ya Moshi.