Hii ndiyo Moshi tuliyoijua miaka 2007
CCM wamechafua mji.Kuna kipindi Moshi ulikuwa ndiyo mji msafi Afrika nzima. Ndugu zangu wachagga kimewakuta nini, mbona mlikuwa watu wasafi sana ?
Chadema.iliondoka.na usafi wake. Wamekuja wachafu na mji ukajeuka.kua mchafu.
CCM wamechafua mji.
Kipindi hicho mji ulikuwa chini ya CHADEMA
Alikuwepo mkurugenzi mmoja somebody mama Kinabo alikuwa vizuri sana yule Madam
kweli mkuu. ameongea kisiasaHii ndiyo Moshi tuliyoijua miaka 2007
Huyo kiongoozi aliyesema ni wajibu wa wananchi kumkumbusha mtendaji wa mtaa, alitakiwa ang'olewe kwenye hiyo nafasi pamoja na huyo mtendaji wake, ina maana Dr na nurse nao wakumbushwe na wagonjwa, Mwalimu akumbushwe na wanafunzi, hao kama wanalipwa mishahara kwa kusubiri kukumbushwa basi nchi imeshaoza
anaitwa Bernadette Kinabo, kweli wakati huo Moshi ndio ilikuwa ni manispaa safi East Africa yote!Alikuwepo mkurugenzi mmoja somebody mama Kinabo alikuwa vizuri sana yule Madam