Hali ya Uchumi na kupanda kwa bei, Waziri Kijaji asema Bei za bidhaa za ndani ni himilivu. Waziri Mwigulu aahidi kupunguza bei mafuta ya kula na gari

Mkuu wenu alishatamka na wafanyabiashara wakatumia advantage hiyo ..halafu hizi wizara ni magumashi matupu hao wafanyabiashara wapenyeza mlungula ndio imeisha hiyo.
 
poor ccm
 
"Pesa za covid zimeenda kujengewa madarasa wkt ni jukumu la serikali wala halina athari za covid"
 
...najiuliza haya ndio wanasema leo..hivi jana wasingehairisha mkutano wangetuambia nini? pengine yangekuwa maudhi zaidi! Tuvumilie tumeambiwa Bei ni himilivu!
 
...najiuliza haya ndio wanasema leo..hivi jana wasingehairisha mkutano wangetuambia nini? pengine yangekuwa maudhi zaidi! Tuvumilie tumeambiwa Bei ni himilivu!
 
tatzo serikali haipoi macho katika kuyzikabili taasisi na maduka haiwezekani bidhaa inapanda mara mbili ya bei ya mwanzo ndani ya wiki moja na still uzalishaji unakuwa wa ndani sasa maana ya kuwa wadhitibi na taasisi zengine za kiserikali?
 
Nyepesi sana,walipaswa kuja na njia mbadala aisee sio maandishi haya
 
Vile Serikali na Chama hutolea ufafanuzi juu ya bei ya mafuta ya petroli kupanda🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 

Si aseme tu bwana madelu kuwa pesa za dunia kupunguza makali ya covid wamejengea vyoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…