BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Wakuu hali ni mbaya hasa hapa Dodoma,jua ni kali mnoo.wakulima wapo njia panda,hawaelewi kabisa.
Matumaini ya mvua kunyesha yanazid kuyeyuka mithili ya barafu.
Mbaya Zaid Serikali ipo kimya,haitoi taarifa wala muelekeo hasa kukabiliana na balaa la njaa ambalo linatishia usalama wa taifa mwaka 2022.
Hapo ulipo hali ikoje?