Hali ya Ukame nchini

Hali ya Ukame nchini

Sumbawanga wanapitisha mchango wa tambiko 5000 ili mvua zinyeshe mbegu zimeanza kuharibika, jua ni Kali haswa huku vijijini Maji hakuna, usiku tunalala nje
 
Naona mvua waliyopigwa Dodoma Jiji pale kwa Mkapa inaendelea kunyesha,...Dodoma usiku huu mvua inanyesha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hameni mkoa huo..., daaadek
Wakuu hali ni mbaya hasa hapa Dodoma,jua ni kali mnoo.wakulima wapo njia panda,hawaelewi kabisa.
Matumaini ya mvua kunyesha yanazid kuyeyuka mithili ya barafu.

Mbaya Zaid Serikali ipo kimya,haitoi taarifa wala muelekeo hasa kukabiliana na balaa la njaa ambalo linatishia usalama wa taifa mwaka 2022.

Hapo ulipo hali ikoje?
 
Back
Top Bottom