Hali ya umeme yawa ya matumaini baada ya juhudi za Serikali pamoja na mvua kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini

 

Attachments

  • 76253F5E-2F55-4A70-A54F-8A73A08A923D.jpeg
    75.9 KB · Views: 2



Ww jamaa uwa unasifia mpaka maujinga,

Alafu ww nimeshakujua, uko hapa kudhihaki serikali

Nimeshaelewa plan yako,
 
Mimi unanifurahishaga hapo mwisho tu unavyoweka namba ya simu, hovi lengo hasa ni nini
 

Aliekwambia tatizo la umeme ni ukame Nani?

Mbona bado umeme unazimika masaaa 12
 
Pole mkuu hata hivyo Hali kwa Sasa Ni ya Matumaini na faraja ukilinganisha na awali ,mgao siyo mjali Sana na naamini halini akwenda kuwa njema Sana siku chache zijazo kutokana na uwingi wa mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali
Ukilinganisha na awali ipi? Kipindi cha magufuli au?
 

We jamaa unafanyaga watu kama mazuzu hivi
 
Pole mkuu hata hivyo Hali kwa Sasa Ni ya Matumaini na faraja ukilinganisha na awali ,mgao siyo mjali Sana na naamini halini akwenda kuwa njema Sana siku chache zijazo kutokana na uwingi wa mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali
Mgao wa makusudi. Walikuwa wanauza majenereta na sola zao zilizokwama enzi ya mwamba.

Alisema siku akiondoka mgao wa umeme utarejea. Na ikawa kweli.

Magufuli, kifo chako kinatuua na tuliobaki. Mungu akupendelee huko uliko.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20221204-153654_Gallery.jpg
    137.6 KB · Views: 2
Mjomba kinachofuata kwako ni kuliwa kiboga tu sasa,sio kwa usifiaji huu.

Una habari hapa nilipo mimi sasa hv umeme umekatika tokea asubuhi?

Hopeless kabisa
 
Acheni kuleta siasa kwny maisha ya watu
 
Lucas ungeongeza na sifa za ziada za kukamilika kwa ujenzi wa daraja la kisasa lililopo Mbuchi na Mbwera - Kibiti lililojengwa kwa gharama za TZS 7.2Bn serikali hii sikivu na makini!
 
Katika siku umeandika upuuzi basi leo umeandika upuuzi wa kutupwa wapi huko hali ya umeme imeanza kurejea kama kawaida?

Kote ni mgao tena mgao mkali Mkoa wa Iringa hususani Manispaa apajawahi kuwa na mgao lakini mwaka huu napo kuna mgao mkali umeme unakatwa toka saa mbili Asubuhi mpaka saa moja usiku kila baada ya siku moja

Tukitaka kuisaidia Serikali sio kusifia kila jambo hata la uongo hapo tutakuwa tunajikomoa sisi maana ugumu wa maisha ni wetu na wala sio wa viongozi
 
Niliko Mimi Hali ya Umeme imeanza kurejea na kuwa ya Matumaini ,mfano kuanzia ijumaa umeme upo muda wote na hata hapa napoandika umeme upo na tunajiandaa kwenda kuangalia mpira baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…