Hali ya upweke, kutotaka mpenzi au bugudha inasababishwa na nini?

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Kuna ile hali mtu hufika hahitaji date, hautaki mapenzi, hapendi, Unakuwa hauna nyege, haupendi mastory Sana. Yaaani una kuwepo tu na maisha yako.

Hivi hii kitaalamu inaitwaje....? Na hutokana na Nini....? Na faida na hasara zake ni zipi....?

Nawasilisha

 
Hivii hii kitaalamu inaitwaje ....? Na hutokana na Nini....? Na faida na hsara zake ni zipi....?
Kitaalamu inaweza kuwa ni stress

Hutokana na sababu nyingi mfano ukosefu wa pesa mwilini, baadhi ya matatizo ya kimaisha kama migogoro ya kifamilia, kimahusiano ama usaliti kwa mpenzi/wapenzi yaliyopita.

Faida kubwa ni kuwa huru zaidi na maisha yako

Hasara ni upweke
 
Ukosefu wa pesa mwilini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Achana na mambo ya uzinzi na uasherati.

Rudi kwa Muumba wako.

Aza kushika ibada, Oa au Olewa.
 
Hii stage inaitwa "NIMEKUA THATHA"

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna faida, ni mateso tu
 
"Maturity."
 
jibu mrua sana
 
Been through this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…