Hali ya upweke, kutotaka mpenzi au bugudha inasababishwa na nini?

Hali ya upweke, kutotaka mpenzi au bugudha inasababishwa na nini?

Aidha ni kipindi cha focus au depression. Last year I was so focused ikafika kipindi nikaachana na mademu zangu wawili nikabakiwa na mmoja tu ili nitunze hali ya kutokuwa na njaa ya uke.

Hadi leo siamini nilipotezea kuila kimasihara pisi kali sana 9/10 ambayo ilikuwa inaenda chuo Kenya in January. Nafikiria hapa sijui nimfuate hukohuko dah.

A few years ago it was depression baada ya tukio la kimapenzi, mwezi mmoja hivi nilikuwa just at home almost all the time najitahidi kupiga kazi.

Good thing after that period nikahamia kwenye vengeance sex na watu kadhaa plus therapy akili ikakaa sawa.
 
Kama hauna stress basi ni wakati wa kupiga hatua kimaendeleo..

Kuna wakati ukiwa mtu mzima "Maturity" ,,automatically unakuwa haupo entertained with a lot of shits.
 
✓Migogoro ya kifamilia
✓Ukosefu wa pesa
Ndivyo vilivyonipelekea kuwa na msongo mzito wa mawazo kufikia hatua ya kutaka niwe kipeke yangu tu! Hivi sasa nimeshazoea, sihitaji kuwa na marafiki wazungumzaji sana, sehemu yenye makelele ya muziki, kujichanganya na watu hata kuwa kwenye mahusiano sioni umuhimu!

Napenda kuwa peke yangu tu! Unawaza kila muda kuwa hata kama utakuwa kwenye mahusiano, huyo binti utampa nini? Hapo hisia zote zinakata unabaki kuangalia jinsi ambavyo nguvu zako za kiume zinamwagika chini bila huruma!

Kuwa karibu na marafiki unaona ni aina fulani ya unafiki, wenzako wakiwa bar wanaagiza, mwenzangu na mie unaona hata aibu kuongozana nao, utaagiza nini!!?

Inaanza kama mawazo, depression ya nguvu, lakini mwisho wa siku unajikuta unaishi ishi tu ili mradi siku zisogee ufe tu!!
 
Aidha ni kipindi cha focus au depression. Last year I was so focused ikafika kipindi nikaachana na mademu zangu wawili nikabakiwa na mmoja tu ili nitunze hali ya kutokuwa na njaa ya uke.

Hadi leo siamini nilipotezea kuila kimasihara pisi kali sana 9/10 ambayo ilikuwa inaenda chuo Kenya in January. Nafikiria hapa sijui nimfuate hukohuko dah.

A few years ago it was depression baada ya tukio la kimapenzi, mwezi mmoja hivi nilikuwa just at home almost all the time najitahidi kupiga kazi.

Good thing after that period nikahamia kwenye vengeance sex na watu kadhaa plus therapy akili ikakaa sawa.
Kuna ujumbe wako PM mkuu.
 
Usiogope ni jambo la kawaida hilo, watu wengi huwa wanakuja maishani mwako sababu tu kuna manufaa flan wanayategemea. Wakipata/wasipopata wanachokitaka wanakupotezea. Hasa hao mademu ndo wa kuwa nao makini zaidi. Hawana mapenzi yoyote ni njaa zao tu ndo zinaweza kuwasogeza kwako🤣🤣 so usimtegemee mtu mmoja kwenye maisha yako, furaha yako iwe inatoka kwako mwenyewe
 
Back
Top Bottom