Hali ya usafi katika vyoo vya hospitali

Hali ya usafi katika vyoo vya hospitali

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1104600

Ni wangapi walishatumia vyoo vya hospitali? Hapo juu ni moja ya vyoo vyenye hali bora.

Kwanza unakuta mfumo wa maji taka ulishaenda likizo ya kudumu na choo bado kinatumika.

Hilo bakuli unakuta limejaa na wala hakuna tangazo linaloonyesha choo ni kibovu.

Mlio kutana na hali hizi tupeni uzoefu wenu. Hapa siongelei wale wa private hospitals, hapa ni sisi wa Mwananyamala, Wailes na Amana.
 
Khaaaaaa[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Ushaniharibia siku tayari, yaani K Vant yote ime evapoterti.
Funga madirisha haraka tuiwahi kabla pesa yetu haijapotea. K-can’t saa hizi wewe ndiye boss?
 
Alinipa babu Asprin jana jioni.
Mimi nnakaugonjwa ka kuchagua choo sijui kwa nini,
Yaani hata nikiwa ugenini hua nnapata shida sana kujisadia katika mazingira ambayo sijayazoea, nnaweza kua nimebanwa kwelikweli lakini nikikuta mazingira tofauti kidogo tu hua haja inagoma kabisa kutoka.
 
Omba Mungu usianguke katika unywaji wa K-vant ulazwe Mwananyamala.
 
View attachment 1104600

Ni wangapi walishatumia vyoo vya hospitali? Hapo juu ni moja ya vyoo vyenye hali bora.

Kwanza unakuta mfumo wa maji taka ulishaenda likizo ya kudumu na choo bado kinatumika.

Hilo bakuli unakuta limejaa na wala hakuna tangazo linaloonyesha choo ni kibovu.

Mlio kutana na hali hizi tupeni uzoefu wenu. Hapa siongelei wale wa private hospitals, hapa ni sisi wa Mwananyamala, Wailes na Amana.

Me nadhani tatizo linakua kwa msimamizi wa hospitali maana actually nadhani inabidi awe mkali kuhakikisha mazingira yanakua salama
Sisi huku mbwinde alikuja bwana mmoja mkurya huyo hataki utani kuanzia vyoo mashuka mpk barabara ni safi
 
Tanzania tuna shida sana katika suala la usafi na tatizo linaweza kuwa pia ni watumiaji wenyewe,choo kinaweza kuwa kinasafishwa asubuhi kweli lakini watuamiaji sasa,nimeshawahi kuona migahawa mizuri tu limeweka tangazo ''usiteme mate/makohozi kwenye sink la kunawia" sasa unajiuliza anayefanya hivyo hajui au anafanya makusudi?
 
Kuna nyumba nilipanga ilikuwa na vikaratasi kila kona kuanzia choo ni, jikoni na bafuni hakikisha umekuacha kama ulivyokukuta.
 
Back
Top Bottom