Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni wangapi walishatumia vyoo vya hospitali? Hapo juu ni moja ya vyoo vyenye hali bora.
Kwanza unakuta mfumo wa maji taka ulishaenda likizo ya kudumu na choo bado kinatumika.
Hilo bakuli unakuta limejaa na wala hakuna tangazo linaloonyesha choo ni kibovu.
Mlio kutana na hali hizi tupeni uzoefu wenu. Hapa siongelei wale wa private hospitals, hapa ni sisi wa Mwananyamala, Wailes na Amana.