GE2025 "Hali ya Usafiri wa Mwendo Kasi Jijini Dar es salaam: Je, Wananchi Watapiga Kura Kwa Hili?"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barabara ya united nations kuanzia Fire kwenda hadi salendar bridge imezidi foleni gari haziendi, sasa ni lazima ipanuliwe mwendokasi ziwahishe watu, ziwe njia tatu au nne foleni imezidi pale hakuna hata pa kupitisha ambulance kuwahisha wagonjwa hospital, kuna nafasi kubwa tu ya kuweka Barabara ukirudisha nyuma fensi za majumba mengi pale kwa wahindi na kurudisha nyuma fensi za mashule.
Inaboa sana viongozi kama vile hawapo na hawaoni shida kubwa ya foleni kali kila siku hasa asubuhi na jioni
 
Kwani kura wanapewa na wananchi, au tume inaagizwa kuwatangaza?
Hata kum entertain mgombea ni sababu kubwa sana ya kuchochea wizi wa kura ,
Usipofika kwenye matamasha yao (kampeni) na kutotoa sapoti ya aina yoyote bila unafiki kuiba ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…