Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

Alvin_255

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
246
Reaction score
503
Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025

Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi cha waasi cha #M23_AFC, kinachoungwa mkono na Jeshi la Rwanda.



To be continued....
 
Aligoma makubaliano na kuifata Nairobi,Luanda process, nini tena anataka?nchi kaigawanya mwenyewe. Goma soon sio Mali ya DRC,itakuwa nchi mpya. Huwe kubagua,kuuwa raia wako ukawa salama.
Governor wa North kivu General Chilimwami alijulikana kwa kuwaua kabila la kitusi.
Hayupo tena!
 

Attachments

  • 20250126_113538.jpg
    183.5 KB · Views: 2
  • OjqAY1vfOkuXpDES.mp4
    6 MB
  • 20250125_194537.jpg
    198.8 KB · Views: 2
  • OOYqw7mz0QyMMRKF.mp4
    2.9 MB
  • 20250126_113606.jpg
    52.1 KB · Views: 3
  • 20250126_113603.jpg
    64.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…