Hali ya Uwanja wa B.Mkapa baada ya kutumiwa na CCM

Hali ya Uwanja wa B.Mkapa baada ya kutumiwa na CCM

Haaaaaaaaaaaaaaaa,sikua na furaha ila nimeipatia kwenye comment hii.

TumuanZishie lable huenda akaupeleka mziki wetu abroad kwenye "people's are used to die in lakes"
I'm just trying to be as funny as you are but I cant reach you
 
maintenance itatoka kwenye kodi zetu na sio kwa wana fisiemu aibu yakesho tunaibeba sisi kama taifa ......
Kama patafanyiwa marekebisho basiusihofu,mambo yatakaa sawa.ni kwa jana tu CCM ilikuwa na jambo lake.
 
Back
Top Bottom