Ni jambo jema wazazi kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule, lakini sio LAZIMA.Hii nchi haitaendelea
Kutokana na watu kutojitambua
Kwahiyo mnasema serikali iwe na bajeti ya ujenzi wa vyoo vya shule na usafi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo tutakutana wapi tufanye maamuuzi hayo na mikutano imepigwa marufuku?Ni jambo jema wazazi kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule, lakini sio LAZIMA.
Tunaipa serikali kodi zetu matrilioni ya shilingi ili iboreshe huduma za watu ikiwemo mashule!
Kazi yenu ni kula machips tu na kununua mashangingi ya kunesa nesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni lawama ya uongozi wa shule na wala sio serikaliNi jambo jema wazazi kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule, lakini sio LAZIMA.
Tunaipa serikali kodi zetu matrilioni ya shilingi ili iboreshe huduma za watu ikiwemo mashule!
Kazi yenu ni kula machips tu na kununua mashangingi ya kunesa nesa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo Chama kilichokuwa kinatawala ni TADEA sio eehh?Mbona vyoo havikujengwa kipindi ambacho elimu sio bure? Pesa zilikuwa zinaenda wapi?
Kiufupi hakuna kipaumbele kwenye elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiteleza kubali matokeo, hapa umejikwaa na Demi kakusaidia kukuelekeza! Ukiwa majuu usipuuzie huku makwetu! Wenzako Waghana au Wakenya hujitahidi kutafuta wafadhili lakini mwenzetu kila kukicha ni kutunang’aHata hivyo tutakutana wapi tufanye maamuuzi hayo na mikutano imepigwa marufuku?
Ameongea kama elimu bure ndo inasababisha yote hayo na wao kunyimwa uhuru wa mikutano. Awamu iliyopita hawakunyimwa kufanya mikutano. Na hali ya vyoo ipo vile vileWakati huo Chama kilichokuwa kinatawala ni TADEA sio eehh?
Iwekwe wazi kuwa budget ya elimu bure haitoshi ujenzi wa vyooHii nchi haitaendelea
Kutokana na watu kutojitambua
Kwahiyo mnasema serikali iwe na bajeti ya ujenzi wa vyoo vya shule na usafi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Na sababu sio elimu bure tafuta nyingineKipindi chore jicho serikali ilyokuwa madarakani ni ya CCM
Mkuu wa Wilaya azipangie matumizi hela za Jimbo au mpaka majimbo ya Wapinzani?Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Afya bora kwa kila mtu ni kitu muhimu kwa Taifa, Elimu iwe bure iwe ya kulipa vyoo ni kitu muhimu kwa wanafunzi..Point yako ni nini...? Elimu isiwe bure..? Ingekuwa vzr kama ungetoa na mapendekezo kuliko kuileta kishabiki ili kufurahisha genge fulani...Nchi yetu sote hii...
Mwalimu mkuu wa shule husika hawajibiki. Kuna vitu vya kusubiri serikali lakini si hivi vyoo. Wala haliwezi kuwa jukumu la mbunge. Shule kama hii ukimpa mwalimu mkuu anayewajibika ana uwezo wa kufanya jambo hapo. Kuanzia hata hivyo vilivyopo vingefanyiwa ukarabati wa dhararu viwekwe na milango.Hii nchi haitaendelea
Kutokana na watu kutojitambua
Kwahiyo mnasema serikali iwe na bajeti ya ujenzi wa vyoo vya shule na usafi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa WEO tutafanyia kazi maombi yakoHiki Kijiji mtukufu rais nihamishie nikawe mtendaji huko hata ukinishusha from WEO to VEO nitashukuru Sana nipo serious
Sky Eclat nahisi ulikua unakaa maeneo ya Chang'ombe miaka ile na wazazi wako kabla hamjaenda nje ya nchi. Why KibasilaKamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
🤣🤣😂 mkuu apo ni jiji pendwaHivi shule za mjini wanafunzi wanavaa yebo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23] mkuu apo ni jiji pendwa