Mnapotoa taarifa hakikisheni zinakuwa za ukweli sio lazima kuandika kama huna taarifa kamili.Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Wazazi tumekosea wapi, kodi tuilipe serikali halafu vyoo tujenge sisi, ebo we vipi?!Wazazi wanaosomesha watoto kwnye hiyo shule ndio wahusika wa kupokea lawama no.1
Vikao vya wazazi mashuleni huwa wana discuss nini? au ndio kuwaza tu hela za watoto kupkiwa shule?
Wazazi wengi hawataki kujitambua na kuchukua nafasi zao kuboresha elimu za watoto zao
wamekaa kusubiri kila kitu serikali ifanye,pumbav.
Hii si kweli!! Sare ya Khaki shule ya msingi Kibasila ya pale machinjio ya chang'ombe?? Na viatu hivyo?? No way!! Acha hiyo sema ukweli ni wapi hapo!!!Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
mkuu kumbe siku hizi mtu akiongea ukweli ni uchonganishi nilijua utakuja na ushahidi kwamba hivyo sio vyoo vya shulesky huo ni uchonganishi tu hivi unachoandika ili wananchi waone wanaonewa na serikali au vipi basi shauri kifanyike nini kutoa hali hiyo au unataka kutuambia huyo chizi wenu lissu ndiyo anaweza kuja kujenga vyo vya shule zote na kumaliza matatizo ya nchi nzima maana liktoka hili mtasema na hili mpaka muda unaisha acheni ujinga
Hujui kuwa michango ilikatazwa?Ila swala la shule kutokua na vyoo vizuri sio lazima serikali ilaumiwe namlaumu mkuu wa shule na kamati ya shule wanashindwaje kuitisha kikao wazazi na Jamii inayozunguka shule wakajenga choo huku kijijini kwetu tumejenga mpaka vyumba vya madarasa kwa mtindo huu
hiyo shule ADA ni sh ngapi?Wazazi tumekosea wapi, kodi tuilipe serikali halafu vyoo tujenge sisi, ebo we vipi?!
Hili swala lilitolewa ufafanuzi unaenda kuomba kibali kwa mkurugenzi ndo unakusanya michango sasa ww kalili kuwa michango ilikatazwa
😂😂😂"kwani watoto wameenda kusoma au kunya" by Wakudadavuwa
Hapo sasa imekaa vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787], serikali ijitathminiKamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Hali hii ipo sehemu nyingi na ni ya siku nyingi.Tatizo ni "kelele" zinazopigwa na awamu ya 5 utadhani wanaweza kila kitu na wengine ni "mafala tu. Hayo yakiibuliwa ni kuwakumbusha tu kuwa kuna mahali mambo hayapo sawa.Wasi -panic!Dada yangu..Leo unatoa sababu kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa ni kweli sikatai mmenyimwa haki poleni sana.
Lakini vyoo vya aina hiyo vipo miaka na miaka havijajengwa juzi, mlikuwa wapi kipindi mnao uhuru wa mikutano? Mi naona ni sababu tu iliyokosa uzito..ujenzi wa vyoo sio lazima uongelewe mikutanoni kila mtu anao uhuru wa kuchangia maendeleo.
Na je elimu bure ndio iliyosababisha vyoo visijengwe? What happened to those days when elimu was not free?
Jikusanyeni wazazi ambao watoto wanasoma hapo ile pesa mliyokuwa mnalipa ada itumieni kujenga vyoo.
Kwan tatizo la choo limeanza awamu ya tanoAfya bora kwa kila mtu ni kitu muhimu kwa Taifa, Elimu iwe bure iwe ya kulipa vyoo ni kitu muhimu kwa wanafunzi..
Tunasikia manispaa zinakusanya KODI za mabilioni sasa kwanini baadhi ya hizo Pesa zisiende kwenye mambo muhimu kwa hili la kutengeneza vyoo vilivyo na viwangi mashuleni..
Kumbuka watoto ni Taifa la kesho..
Kwani hiyo shule imejengwa leo?!hiyo shule ADA ni sh ngapi?
Hilo swali ndio jibu la swali nililo kuuliza?Kwani hiyo shule imejengwa leo?!
Kabla ya elimu bure hiyo shule ilikuwepo, na tumelipa sana ada, na kodi tumeilipa sana serikali, sijui msingi wa swali lako nini?Hilo swali ndio jibu la swali nililo kuuliza?
Kwan tatizo la choo limeanza awamu ya tano
Hili suala halihitaji siasa... Ni wazazi wa shule husika kuamua tu.... Kuna shule fulani alumnae wa hiyo shule wamekarabati vyoo vimekuwa vya kisasa sana... Au unafikir kuna serikali yoyote; ccm au upinzani ikiingia madarakani inaweza maliza tatizo la choo nchini...?Majadiliano tungeyafanya wapi wakati vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya mikutano ya siasa. Tulitegemea kuchangia hoja zetu na viongozi wetu amabo wengine walitumia muda wao mwingi magerezani