Kama hivyo vyoo kwako havina shida basi nasema Bado wewe maskin tafuta hela sana 🚮Mbona havina shida hapo maji yameharibu Kwan ni Kuna ubaya
Upumbavu ni kudhania kua shabiby Yuko na nyinyi maskin kwamba anawasema mafisadi ...na wakati wakitoka hapo wanaenda hotel za bei mbaya ufukweni kugonga cheers na kusema tumeweza kuwachanganya Hawa vidampa. 🚮Shabiby endelea kupigilia misumali naona mafisadi yameaza kujitokeza adharani.
Pole sana. Pambana sana, kama hivyo vyoo kwa macho yako ya nyama unaona viko sawa ...aiseee pambana pambana Bado umaskin una roam around your body and mind.Na ni kwel mim maskini Sina lolote ndo maana nipo naokotoa makopo ya maji nikapate rizkk
Wafanyabiashara wengi Wabongo na hata Ofisini za umma huwa hawajali sana vyoo vizuri na visafi.Ila Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Mtu pesa zote hizo unashndwa kutengeneza vyoo standard kabisa visafi na kuajiri mtu maalum wa usafi kila muda ...******* sana hao jamaa ..ndio mana Mimi matajiri wachaga nawakubali sana
Atanuka Wahuni Wanapiga MadhaifuMmeanza kumsagia kunguni, baada ya jana kuwatifua mafisadi na walafi wa nchi hii.
Lol
Hayupo Nasi YuleUpumbavu ni kudhania kua shabiby Yuko na nyinyi maskin kwamba anawasema mafisadi ...na wakati wakitoka hapo wanaenda hotel za bei mbaya ufukweni kugonga cheers na kusema tumeweza kuwachanganya Hawa vidampa. 🚮
😂😂😂😂😂Atanuka Wahuni Wanapiga Madhaifu