KERO Hali ya vyoo Olduvai Gorge inatisha, wageni wajisaidia nje

KERO Hali ya vyoo Olduvai Gorge inatisha, wageni wajisaidia nje

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kipindi Cha jiwe mpaka muda huu mtu angeshaliwa kichwa,,lakini kwa bie mkubwa atasema hili nalomkalitizame ndugu zangu,hivi mnajua vizuri sekta ya utalii inachangia asilimia ngapi katika Pato la Taifa?? Mama kula kichwa cha mtu kwa uzembe huu..Mnatakaa Wazungu wakajisadie porini???
 
Jiwe angeanza kumpoteza kwanza aliyepiga picha na kurusha mtandaoni. Usidanganye watu
 
Chadema wanakwamisha haya mambo!Tangu awali mama FUTA chadema ndio wanafanya Tufike hapa
 
Aibu kila mahali, kwa Mkapa aibu ya goli 2-0 Huko Arusha vyoo vimefungwa na majihakuna......Harafu anakuja mtu kunishawishi nijiandikishe ili nipige kura 2024/5....... 😲. Never!
 
Wanachowaza watendaji wengi wa serikali ni wizi rushwa na mambo ya magendo
 
Mwigulu na utaratibu wake wa kuvuna hela zote za hifadhi kisha kuwatumia kiasi cha matumizi ilikuwa utaratibu mzuri ila tatizo hatekelezi. Hiyo ni hujuma
 
Back
Top Bottom