HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Acha ujinga bwana kila kitu nyumbani kwako unafanya weee??Lakini pia Mama ana mamlaka na hao wahusika! Ana uwezo wote, sasa sijui unapolalamika Kama anaonewa una maana gani!!!
Acha ujinga bwana kila kitu nyumbani kwako unafanya weee??
Inasikitisha sana.Vyoo tu wanashindwa tengeneza
π mengine wataweza
Ova
Hahaha choo waziri ajiuzulu?Huyo Mkurugenzi na waziri wake wote wapigwe chini hakuna kazi wanayofanya
Kama kitu kidogo kabisa CHOO imewashinda wanawezaje kusimamia wizara?
Na hili nalo atasukumiwa lawama Mbowe na wenzake
Hajapost jinyesi angalia mamySijaangalia nimeogopa....
Aibu sana chooni ni mahali pa starehe...
Sasa hivi wanalindanaKipindi Cha jiwe mpaka muda huu mtu angeshaliwa kichwa,,lakini kwa bie mkubwa atasema hili nalomkalitizame ndugu zangu,hivi mnajua vizuri sekta ya utalii inachangia asilimia ngapi katika Pato la Taifa?? Mama kula kichwa cha mtu kwa uzembe huu..Mnatakaa Wazungu wakajisadie porini???
Kesho Samia atasema wawape waarabu kwani sisi hatuna uwezo! CCM ni janga kuu. Gharama ilitumika kumteka Satifa na kuzuia lile komangamano la Mbeya ingevuta maji hapo.Wakati mama anapambana kupata wageni million 5 Tanapa wameshindwa kuweka maji tu CHOONI hapa Olduvai. What an embarrassing situation.
View attachment 3128388
Mama hana uwezo. Sana sana atasema ''na hili nalo nendeni mkaliangalie''. Halafu watatumwa kumteka huyu aliyerekodi.Kipindi Cha jiwe mpaka muda huu mtu angeshaliwa kichwa,,lakini kwa bie mkubwa atasema hili nalomkalitizame ndugu zangu,hivi mnajua vizuri sekta ya utalii inachangia asilimia ngapi katika Pato la Taifa?? Mama kula kichwa cha mtu kwa uzembe huu..Mnatakaa Wazungu wakajisadie porini???
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈMada yako ni nzuri lakini caption yako imekaa kinoko na kizandiki. Utakuwa mbeya sana wewe.
kumefungwa halafu panatisha dah,
Vyoo navyo vya sgr gentleman waambie wavifanyie usafi nk πkumefungwa halafu panatisha dah,
mpotoshaji ametoka chuo gani cha cha uzushi i?
si wangechukua ufunguo getini π
usafi ni muhimu sana Lakini si upotoshaji mwepesi kama huo..Vyoo navyo vya sgr gentleman waambie wavifanyie usafi nk π
Hivi kwanini wabongo tunashindwa kuweka vyoo vyetu safi π
Ova