Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hadi kunya hatunyi ipasavyo. Ndo maana uswahilini ukioga mchana unaulizwa una kwenda wapi?Huyo ndo mwafrika katka ubora wake!