Mtoa Taarifa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2024 Posts 213 Reaction score 671 Oct 23, 2024 #1 Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ? Your browser is not able to display this video.
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ? Your browser is not able to display this video.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Oct 23, 2024 #2 Huyo ndo mwafrika katka ubora wake!
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Oct 23, 2024 #3 Wayanganyoka usafi wa vyoo ni mtihani
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Oct 23, 2024 #4 Lavit said: Huyo ndo mwafrika katka ubora wake! Click to expand... Yani hadi kunya hatunyi ipasavyo. Ndo maana uswahilini ukioga mchana unaulizwa una kwenda wapi? Nyau de adriz
Lavit said: Huyo ndo mwafrika katka ubora wake! Click to expand... Yani hadi kunya hatunyi ipasavyo. Ndo maana uswahilini ukioga mchana unaulizwa una kwenda wapi? Nyau de adriz